IS SEX OVERRATED?

IS SEX OVERRATED?

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,376
Reaction score
28,499
🍑🥒

Unakuta unaishi maisha roho iko juu juu, wengine wanatembea na vaseline mfukoni kwa maana unajua unatembea na mke wa mtu.

Unakuta unanunua malaya ukipiiga tu unaanza kuwaza hela yako ya mfuko wa shati na kulalamikia nafsi yako.

Unapangishia mchepuko kisa ana matako makubwa ila matako hayo yanachapwa bure na mchoma chips.

As how much sex utampa mume wako na kiufundi zaidi haikupi tiketi ya kutosalitiwa.

Hata ujitutumue vp hauwezi mkomesha mwanamke katika tendo la ndoa labda tu umfanyie ukatili wa kijinsia of which ina Consquences zake
 
Kuna muda huwa nahisi baadhi ya maamuzi juu ya kutamani kusex na mtu wa aina Fulani ni kama ubongo huwa unajitoa kabisa
 
Mwanaume yoyote anayesema sex is overrated anafaa kuchinjiliwa mbali....huyo sio kidume kabisa. He might as well start batting for the other team
 
Back
Top Bottom