Is President Samia rebranding or debranding Tanzania?

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,440
3,551
When addressing the editors at the state house president SSH expressed her dreams of re-branding Tanzania. "Tanzania must be rebranded so as to polish it's tainted mage to the international community and thus attract more investors" she said.

But it seems her dreams will continue to be a wish, and won't come into a reality. As days are going on under her administration, the image of Tanzania portrays itself as a toy of social injustice, deep political upheavals, worsening poverty and loss of hope for better tomorrow.

I'm somehow tempted to say may be her tongue sipped. She might have wanted to utter debranding Tanzania, but her lips pronounced rebranding Tanzania. The closure of Denmark embassy in Tanzania is the official stamp authorizing the debranding of our country internationally.

The eagle-eyed investors will soon bear wings and fly to other parts of the world.
 
Hii nchi imeshakosa mwelekeo kabisa.Inaelekea hii nchi na yenyewe imeshanyweshwa alcohol manake inayumbayumba kila mahali.
 
TZ ilirudi nyuma sana kipindi cha JPM, na sasa kilichobakia ni kupapatua kutaka kurudi on track. Kitu hiki kinahitaji muda sio rahisi kama tunavyofikiria.Wenzetu wanajadili na kupanga mambo yao miaka mbele.

Suala la covid-19 ambalo ni janga la dunia, kila mtu dunia nzima wametushangaa tulivyodeal nalo. Pengine limetoa taswira kama TZ hakuna taasisi, mambo yake yanaendeshwa kiholela tuu.

Watu wanajiuliza hivi nchi nzima iliamini kama kunywa vikombe vya miti shamba na kufusha unaweza kutibu virus ? Ikiwa taasisi zote na serekali nzima iliamini na kupigia chapuo miti shamba ? Jee si investor anaweza akaambiwa mchawi akanyongwa ..... niishie hapa :rolleyes:
 
🤣 🤣 🤣
 
Uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wao, she is definately debranding.
 
TZ ilirudi nyuma sana kipindi cha JPM, na sasa kilichobakia ni kupapatua kutaka kurudi on track. Kitu hiki kinahitaji muda sio rahisi kama tunavyofikiria.Wenzetu wanajadili na kupanga mambo yao miaka mbele.

Suala la covid-19 ambalo ni janga la dunia, kila mtu dunia nzima wametushangaa tulivyodeal nalo. Pengine limetoa taswira kama TZ hakuna taasisi, mambo yake yanaendeshwa kiholela tuu.

Watu wanajiuliza hivi nchi nzima iliamini kama kunywa vikombe vya miti shamba na kufusha unaweza kutibu virus ? Ikiwa taasisi zote na serekali nzima iliamini na kupigia chapuo miti shamba ? Jee si investor anaweza akaambiwa mchawi akanyongwa ..... niishie hapa :rolleyes:
Unaongea kutokana na kukopi au kutokana na kutumia akili zako. Hivi waliotumia njia tofauti na Tanzania walikufa Kidogo kulinganisha na Tanzania au wao COVID imeondoka kabisa?
 
Back
Top Bottom