Is President Magufuli an isolationist?

I think this could be grammatically sounding, .....

Perhaps, he considers the meetings being irrelevant to his State(state vs nation as per this respect), saying that English is a problem to him might not be true.
Perhaps the meetings themselves he considers irrelevant to his Nation, to say that English is the problem is not true

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So far yupo consistent. Haamini kama hili gonjwa ni tatizo kubwa. Kwa nini maraisi wapoteze muda kujadiliana vitu ambavyo ni non-issues?

Chapeni kazi, wacheni kucheza ngoma ya mabeberu!
Sasa kama haamini kuwa kama hili gonjwa ni tatizo kubwa yey yupo wapi...?/ Si tungemuona ikulu au akizunguka kukagua miradi yake...?// Au Corona ni tatizo kubwa kwawe ila kwa wananchi wake ni tatizo dogo...?

ifike mahali mnapotetea muwe manjiuliza maswali ambayo yanaweza jotokeza mbeleni mkakosa majibu.
 
English sio tatizo,kwenye mkutano wa SADC uliopita uliofanyika Tanzania alitoa speech kwa kingereza nzuri tu..tatizo ana hofu ya kujadiliana..ushawahi kuulizwa maswali kwa kingereza??weeee acha kabisa 🤣🤣..the problem is kwa topics kama hizi ndio kabisaaa zinamfanya aendelee kujiona inferior..ila ni vizuri aisee maana atafikiria njia ya kupindua elimu yetu itoe wahitimu wanaojiamini...
... waliokimbia debates enzi zileeeee utawajua tu! Mijadala hata ikiwa kwa Kiswahili sio mchezo; sio sawa na kuwafokea sub-ordinates wako au kutoa amri. Unajadiliana na watu wa level yako na wengine wasio raia wako so they discuss issues and ask questions with free minds na unatakiwa utoe majibu sahihi na fasaha on the spot! Kama brain haijatulia, hapo ndipo shughuli ilipo.
 
Did the presidents(of Kenya, Uganda, Randwa and South Sudan) invite Dr Magufuli in the meeting? How if the meeting was made without inviting the Tanzania president.
Ukiona majirani zako hata unapoishi ww Graph Theory hawakushirikishi kwenye viakao vyao ukiwa na ww ni mwanajamii katika mahali husika, unatakiwa ujiulize , kuna mahali unakosea au unamatatizo binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am anti-stupidity and pro-intelligence. Anti-foolishness and pro-common sense.

Having said that, I’m not here to cape for Magufuli on just about anything and everything.

I look at issues on a case by case basis.

Today, the East African Community heads of state held a virtual meeting sans President Magufuli.

Last week SADC did the same.

President Magufuli has missed several of these types of meetings a number of times now.

Is he an isolationist?

It’s hard to make sense of his absences. Like for example, what made him miss today’s virtual gathering?

Did he have an over-packed docket of things to do [wherever he is at]?

Just downright bizarre!

As trivial as it may sound, maybe there’s some truth to what some people think could be the reason for him skipping these meetings - English.

Maybe he is so self-conscious about his English speaking proficiency and he can’t handle being dragged for it afterwards.

If that’s not the case, then what is it?

To me it doesn’t make any sense why he would skip on these types of meetings especially at a critical time as now.

Can anybody make sense of this nonsense?


Sent using Jamii Forums mobile app
Before you ask all these questions you need to ask yourself are his priorities aligned with those of the EAC and SADC leaders?

Most of these leaders are prioritizing protecting the lives of their citizens against COVID-19 by sacrificing a huge chunk of their countries' economy, he seems to be more concerned with saving the economy by sacrificing the lives of the country's citizens. So why should he bother to attend meetings with people who have different agendas/priorities/ideologies?

It's a clear message that he does not care for anyone's life but his own (and maybe that of his family), that's why he is in isolation in his local village while insisting that people should continue working hard to save the economy, we are all his pawns and he is the king
 
Kama yuko chato maana yake hakuna video conference system, inategemea na sehemu alipo kwa sasa. Hata Dodoma ni makao makuu mapya sijui na sina uhakika kama kuna video conference system katika ofisi yake, cha muhimu tuulize Magufuli yuko wapi?. Kuhusu corona hatua zetu za ndani ni hafifu sana, serikali ichukue hatua ,mfano upimaji wa corona mipakani na kusisitiza raia kuepuka sehemu za misongamano na kuvaa barakoa kwa kila raia, tusipoteze muda kubishana na vipimo tuchukue tahadhari na tuwaelimishe wananchi wetu walau itasaidia kupunguza maambukizi ndani ya nchi kama hatua zingine zimetushinda, Rais aepuke matamshi ya yanayo kinzana na maelekezo ya watalaam wa afya, na aache kuisemea dunia yeye ajikite kutatua matatizo ya nchi yake.
 
Sasa kama haamini kuwa kama hili gonjwa ni tatizo kubwa yey yupo wapi...?/ Si tungemuona ikulu au akizunguka kukagua miradi yake...?// Au Corona ni tatizo kubwa kwawe ila kwa wananchi wake ni tatizo dogo...?

ifike mahali mnapotetea muwe manjiuliza maswali ambayo yanaweza jotokeza mbeleni mkakosa majibu.
Soma katikati ya mistari, utanielewa tu brother! Kuna mambo siwezi kuyatetea.
 
Nadhani msimamo aliochukua kukabiliana na hili janga ambao ni tofauti na mataifa mengi (kukataa lockdown) ndio unaomfanya asihudhurie hii mikutano.

Mkuu kama yuko against lockdown then angeweza kuweka mawazo yake across labda viongozi wenzake wangejifunza kutoka kwake...achene kumtetea bana..majadiliano ndio ishu which is understandable.
 
No He ain't an isolationist.

He is a semi-god who never makes any mistakes and as such he receives millions of praises .

Yeah, You know he's "Nabii asiyekubalika kwao' one of kind of the best of the best president this failed shithole has ever had.

Cheers.
 
So far yupo consistent. Haamini kama hili gonjwa ni tatizo kubwa. Kwa nini maraisi wapoteze muda kujadiliana vitu ambavyo ni non-issues?

Chapeni kazi, wacheni kucheza ngoma ya mabeberu!
To majority Tanzanians is a non issue except to few chadema members of Parliament who does not represent majority of Tanzanians

Even to me Corona is a non issue I join hands with my president

CCM members we differ in many issues but majority of CCM nembers we don't differ with our CCM chairman and President Magufuli on the issue of Corona it is a non issue

The stance he took is the stance that majority CCM members and Tanzanians want
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mkuu kama yuko against lockdown then angeweza kuweka mawazo yake across labda viongozi wenzake wangejifunza kutoka kwake...achene kumtetea bana..majadiliano ndio ishu which is understandable.
... excellent! Wewe mkazo wako ni kwenye uchumi wao mkazo ni kwenye afya za wananchi; kwanini msijadiliane kubadilishana uzoefu? Au kutafuta mbinu za ku-balance the two - uchumi vs afya? I believe wangetoka na makubaliano ya pamoja ambayo yange-balance hizo issues mbili muhimu.
 
Back
Top Bottom