Patrick Elias
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 332
- 108
Inaelekea adui mkubwa wa nje wa IS ni marekani ndo maana wanachinja wanahabari wa kimarekani, sasa secratary of state JOHN KERRY yuko ndani ya iraq sasa kazi kwenu IS kuonyesha uimara wenu kwa ulimwengu either kumteka, kumlipua ama kumchinja haya kazi ni kwenu.
Inaelekea adui mkubwa wa nje wa IS ni marekani ndo maana wanachinja wanahabari wa kimarekani, sasa secratary of state JOHN KERRY yuko ndani ya iraq sasa kazi kwenu IS kuonyesha uimara wenu kwa ulimwengu either kumteka, kumlipua ama kumchinja haya kazi ni kwenu.
Inaelekea adui mkubwa wa nje wa IS ni marekani ndo maana wanachinja wanahabari wa kimarekani, sasa secratary of state JOHN KERRY yuko ndani ya iraq sasa kazi kwenu IS kuonyesha uimara wenu kwa ulimwengu either kumteka, kumlipua ama kumchinja haya kazi ni kwenu.
Russia, china are quite coz they know ISIL is USA
lengo la isil ni kuunda islamic caliphate katika maeneo yote duniani yaliyo na waislamu wengi, kwa hiyo mkuu unatuambia kuwa hiyo ndiyo ajenda ya usa kuunda isil?
Kwa hiyo unadhani USA wanapinga "ajenda" hiyo????!!!!lengo la isil ni kuunda islamic caliphate katika maeneo yote duniani yaliyo na waislamu wengi, kwa hiyo mkuu unatuambia kuwa hiyo ndiyo ajenda ya usa kuunda isil?
Mkubwa bila kuangalia maslahi ya dini yoyote tuangalie ukweli!! Marekani inasaidia waasi Syria ili kuondoa utawala uliopo, sijapendezwa na hii kitu kabisa kabisa!! Kesho na keshokutwa waasi hao hao wanakuja kugeuka na kuwashambulia wote Marekani na ndugu zao, ndiyo ugumu anaoupata Marekani kwa Waarabu!! Sasa hebu jiulize muasi anayefadhiliwa na Marekani anakamata askari wa serikali ya Syria anamchinja huku wanatuma mipicha mitandaoni wanaanza kusema Waislam (sorry for this) its not fair atall!!
Hata chanzo cha halisi ISIL huko Syria ni Marekani huyo huyo ila tatizo kubwa ni kwamba Waarabu ni vigeugeu mno unamtumia leo akilala akiamka kesho na akitafakari kidogo tu anakugeuka kama hakujui!! Oraganization yote ya kundi na mapambano alifanya Marekani ila alipoingia uwanja wa vita kamgeuka, washenzi sana wale!!! Kumbuka alikotoka Osama na alivyokuja kuwageuka (mfano tu)
Tatizo kubwa ni kwamba huwezi kuzngumzia maslahi ya Mwarabu wa ukweli bila kugusa dini yake, thus why kila kinachofanyika kwenye ardhi yao iwe cha sahihi au si sahihi lazima kiguse maslahi ya dini yao!
Sasa wangapi japo wanataka tu kufikiri zaid ya wanachoona na kusikia??????
Ndio utashangaa Muislam wa Tanzania na Mkristo wa Kenya wanabishana na kutukanana kabisa juu ya mgogoro huu kisa imani zao!!!!!!
Miafrika "mingi" ndivyo tulivyo!!!!
ISIS hawana uadui na marekani,ila marekani wamewatoa kafara waandishi wao wawili kipatikane kisingizio cha kuingia syria na kumtoa assad,Inaelekea adui mkubwa wa nje wa IS ni marekani ndo maana wanachinja wanahabari wa kimarekani, sasa secratary of state JOHN KERRY yuko ndani ya iraq sasa kazi kwenu IS kuonyesha uimara wenu kwa ulimwengu either kumteka, kumlipua ama kumchinja haya kazi ni kwenu.
ISIS hawana uadui na marekani,ila marekani wamewatoa kafara waandishi wao wawili kipatikane kisingizio cha kuingia syria na kumtoa assad,
marekani wanajua wazi kuwa isis watakua wameshayeyukia miongoni mwa raia mpaka sasa baada ya marekani kuwapa mda wa kutosha kabisa kujificha.
watapoanza mashambulizi itakua ni geresha tu,kisha target za assad zitaanza kupigwa na kuharibiwa huku wale free syrian army wakipewa silaha na kusonga mbele hadi kumtoa assad.
ndo maana uturuki amegoma kutoa airbase yake kushiriki ujinga huu.
pia uingereza na germany zimejiweka mbali na operation za anga dhidi ya isis.
Iko siku mke wako atabebwa na jirani utasema Mmarekani huyo kanichukulia mke wangu!