Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,774
Wengi hamuijui EAC.JIpeni nafasi ya kusoma au hata kusikiliza hali ay EAC. Ukitaka kujua kwa nini TZ inasita ktk maamuzi ya EAC, jiulize mwenyewe kwa nini TZ hiyo hiyo inaongoza vizuri ndani ya SADAC!
Aalinyukwa vizuri tu mpaka kalalamika, halafu alizoea akilalamika watu wanamsujudia, kakutana na jiwe, jiwe kampotezea tu.Kumbe naye alinyukwa?,inaonekana kuna malaika wengi wanafinywa kimya kimya nyuma ya pazia
Hajawahi kuwa managing Director popote! Una imani delivery yake Safaricom itamfanya aiinue Vodacom? Ili iweje? Unajua makampuni yanashindana? Atoke Kenya kuja kuinufaisha Vodacom kwa gharama ya Safaricom? Hatutaki majaribio ya hatari kiasi hicho.Safaricom.... Uliza kingine.
Usitafute wastani kwa takwimu moja. Huyo mmoja kwa kuwa hana digrii unadhani na huyu ataweza? Hapana! Ikitokea mara moja kinyume na mazoea, usiiamini kwamba ndo kawaida. Hiyo siyo kawaida na hiyo haitoshi kumpa mdada kama huyu kuijaribia TZ. Kwa nini nafasi kama hiyo asitafutwe m-TZ? Au nawe unaamini kama huyo Mfuruki kwamba kenya kuna sifa ya ziada zaidi ya TZ?CEO wa Safaricom hana degree bosi. Kutumia kigezo cha ELIMU inatufanya tushindwe kuona picha kubwa
Kunywa pombe uleweeKingreza
Hajawahi kuwa managing Director popote! Una imani delivery yake Safaricom itamfanya aiinue Vodacom? Ili iweje? Unajua makampuni yanashindana? Atoke Kenya kuja kuinufaisha Vodacom kwa gharama ya Safaricom? Hatutaki majaribio ya hatari kiasi hicho.
Hata hivyo unamtetea wa nini wakati kisha kataliwa? Tujadili huyu anayempigia debe utadhani wanafahamiana kwa ufanisi, kumbe misheni tauni!
Nafikiri tufunge tu mjadalaUsitafute wastani kwa takwimu moja. Huyo mmoja kwa kuwa hana digrii unadhani na huyu ataweza? Hapana! Ikitokea mara moja kinyume na mazoea, usiiamini kwamba ndo kawaida. Hiyo siyo kawaida na hiyo haitoshi kumpa mdada kama huyu kuijaribia TZ. Kwa nini nafasi kama hiyo asitafutwe m-TZ? Au nawe unaamini kama huyo Mfuruki kwamba kenya kuna sifa ya ziada zaidi ya TZ?
Tukubaliane kutokubaliana. Siku njemaHuijui EAC.Jipe nafasi ya kusoma au hata kusikiliza hali ay EAC. Ukitaka kujua kwa nini TZ inasita ktk maamuzi ya EAC, jiulize mwenyewe kwa nini TZ hiyo hiyo inaongoza vizuri ndani ya SADC!
Usiwe mtu wa kukata tamaa na kubaki na elimu yako. Ongeza ufahamu kwa kujifunza ya wengine.Tukubaliane kutokubaliana. Siku njema
Tumeshajadili vya kutosha sasa sijui kuna kingine kipya bosi?Usiwe mtu wa kukata tamaa na kubaki na elimu yako. Ongeza ufahamu kwa kujifunza ya wengine.
Je, umejifunza lolote? Kama hukujifunza, inaniuma!! Kama umejifunza, nashukuru.Tumeshajadili vya kutosha sasa sijui kuna kingine kipya bosi?
Kujifunza ni pande zote. Sote tunajifunza mimi na wewe.Je, umejifunza lolote? Kama hukujifunza, inaniuma!! Kama umejifunza, nashukuru.
Kama utaendelea kushabikia maelezo ya muhuni huyu eti kutuletea mtu kutoka Safaricon, nitahitajinguvu nyingi kutafuta kwa nini elimu yetu hatuitumii.Kujifunza ni pande zote. Sote tunajifunza mimi na wewe.
Sijui wanatumia tafiti zipi kujua kua hakuna qualified Tanzanians for CEO roleWatu mmejikatia nia namna hii,Kuna watu wenye uwezo mkubwa sana, Kivip unasema hakuna managers wanaoweza kusimamia biashara Tanzania, How many Tanzania have foreign business education na wamesoma chuo kimoja na huyo dada? Huu ni upungufu wa Kufikiri kwa mtu mkubwa kama huyo, pia hana ujuzi wa kutafuta mkurugenzi mzuri, tena anaweza kusema madini ya shaba ya tanzania hayapo sawa na madini ya shaba ya nchi zingine
Wakimpa mmbongo dada zetu watakoma mtaani na wake za watu wamkomee.Phenomenal woman boss wako katuchoka wabongo eeh??mpelekee hii aone
Asilimia kubwa ya wafanyabiashara hapa tz wamepata hela kiujanja ujanja hasa kwa kuiba serikalini na ungaAlianza biashara kwa wizi wa pesa za shirika la serikali, leo hii anajidai mfanyabiashara mwema.