Is Lamu Port Still Creadible?

Haha, yani mkakati wa kuwamaliza nyie ni mdogo sana, tena sana. Tutawamaliza kwenye bei tuu, "race to zero". Huku mna mkopo na huku Tanzania anashusha bei mpaka bure. mtakuja wenyewe kutuomba samahani.

Mshushe to zero wakati leo hii mnaomba omba mkopo hadi kutoka kwa Zuma eti akawatetee, nyie mna misuli ipi ya kumtunishia Mkenya.
 
Kha!! Wenyewe mlete mada ya kujitapa halafu mkijibiwa mnatokwa na povu na kutukana, hehehehe..... Mtajibiwa tu siku zote...
Nchi mbaya halafu watu wake wengi wenu mna husda roho za korosho wivu na kujikweza mumebarikiwa.
 
Kha!! Wenyewe mlete mada ya kujitapa halafu mkijibiwa mnatokwa na povu na kutukana, hehehehe..... Mtajibiwa tu siku zote...

Hakuna povu, ukweli ndio huo, tena umfikishie ujumbe yule bwana mrupukaji, mwambie sisi ndio tumeshika mpini, yeye kashika makali tukisogeza kidogo tu, atalia.
 
Mshushe to zero wakati leo hii mnaomba omba mkopo hadi kutoka kwa Zuma eti akawatetee, nyie mna misuli ipi ya kumtunishia Mkenya.
Uwezo tunao, huku gharama zetu ziko chini kila wakati. Kuanzia mishahara mpaka malazi, kodi ndio hizo Magufuli anazipanga zinashuka.
 
Uwezo hamna, naona kote ni kilio sasa hizo gharama zilizoshuka ni zipi, labda kwa wana Lumumba street ambao hupokea ruzuku kwa ajili ya kuendeleza propaganda za mitandao. Wengine wote ni kilio na kusoma namba kwa kwenda mbele.
 
Hivi huyu ni wewe kweli au akauti "wamekwapuliwa". Unarusha hadhithi sasa mambo ya Lumumba yanaingiaje hapa. Swali dogo, kutengeneza kibiriti Kenya na kutengeneza Tanzania wapi itakugarimu zaidi?
 
Mimi lishakuambia ukiona kosa rudi nyuma kabadilishe, khaa mtoto huna dogo..

MOD tafadhali tubadilishie heading isomeke CREDIBLE Maana wenye lugha yao wakenya wanagomba hapa.
Even credible is wrong, kwani ni news site?
 
Ethiopia is still authoritarian country, gov oversee everything. Even USA can't penetrate on Ethiopian market, if it was that simple, Kenyans would've been in Ethiopia since 1900s (yeah, 1900s)

It will not be that way forever.
If they want to sell to other countries, they will have to open their market too.
 
hivi mkuu, Zuma alikubali ombi la hawa walala hoi:D

Aliwazuga tu na kuwapa sound fulani hivi wamebaki wanamtumainia lakini siunajua naye Zuma ana kasheshe zake kule South, wake zake na nyumba alizojenga kwa kutumia ufisadi, hivyo hana muda na mahangaiko ya Wabongo.

48b0595130aa463eb8df97a66a44d1ab.jpg
 
Mimi lishakuambia ukiona kosa rudi nyuma kabadilishe, khaa mtoto huna dogo..

MOD tafadhali tubadilishie heading isomeke CREDIBLE Maana wenye lugha yao wakenya wanagomba hapa.
wacha ata spelling mistakes...wewe unajua maana ya neno hilo credible? eti is the port credible? hehehehe
 
Is this a literature class, or the topic about Lamu port. How come your not contributing on Lamu port?

You took the word out of context, Kenya is building Lamu port with an intention to serve the local economy and also Ethiopian and South Sudan. But in order for that project to be profitable, Ethiopia and South Sudan need to come on board. But Ethiopia or South Sudan they haven't commit yet, and they're starting to look elsewhere. Do you still bealive the project Lamu can bring return of investment? What is the credibility of project?.
 
Importation and exportation is done by businessmen, not the government. In the long run the business men will use the cheapest route. The mistake Tanzania makes is assuming signatures by sitting presidents mean anything on these projects. Lamu Port is going to be modern and very efficient and definitely cheaper. Discussing whether such a port is credible is a non issue.
 
Back
Top Bottom