Kwa siku za hivi karibuni
nakwa kuzingatia siku ambayo kwa mtazamo wangu haikua haki kwa Rais wetu
wa Jamhuri media hii katika maziko ya Mbunge wa Chalinze, ilimpa uzito
mkubwa zaidi mwenyekiti wa Chadema bwn Mbowe kuliko kumpa uzito kiongozi
wa Nchi.
Katika habari ya kwanza kabisa katika mfululizo wa habari za kitaifa,
habari ilianza kwa kumnukuu kiongozi wa chama hicho cha upinzani akitoa
wasifu wa marehemu kwa vyombo vya habari.
Kiongozi huyo alinukuliwa kwa kutoa kauli za kutoa wasifu chanya kwa
marehemu na habari hiyo kumalizia kwa kusema kua mazishi hayo
yaliongozwa na Mh. Jakaya kikwete Rais wa JMT.
Tafsiri ya vitendo hivyo ni kuwa Media haikumpa uzito kiongozi wa nchi
na kumpa uzito kiongozi wa chama cha upinzani. Haikua sahihi.
Ukijaribu kufuatilia taarifa za habari pia zimekua zikikipa kipaumbele
kikubwa chama hicho kuliko vyama vingine.
What is the hidden agenda, tutegemee nini kwa vyombo kama hivi
vinapoamua kuwa biased?? Au ndio kama majibu kwa serikali kuwa na chombo
chake cha habari TBC?? na Pro Chadema's kuanza kuigomea media hii kwa
grounds kwamba kinaipa upendeleo serikali ya CCM?? Sidhani kama hili ni
sahihi.
Media houses should play their role of reporting and not
politics.
Mahali fulani hivi....."Enyi magamba, ni nani amewaroga?" Damu za kina Daudi Mwangosi kutoka Iringa na meno ya kina Ulimboka kutoka msituni na makucha yao na nyingine nyingi za Arusha, Morogoro, Kiteto, Mtwara, Tarime.......mlizozinywa zinaelendea kuwakata ngebe. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!Hebu nipe huo utaratibu na umeandikwa wapi?
Kwa siku za hivi karibuni nakwa kuzingatia siku ambayo kwa mtazamo wangu haikua haki kwa Rais wetu wa Jamhuri media hii katika maziko ya Mbunge wa Chalinze, ilimpa uzito mkubwa zaidi mwenyekiti wa Chadema bwn Mbowe kuliko kumpa uzito kiongozi wa Nchi.
Katika habari ya kwanza kabisa katika mfululizo wa habari za kitaifa, habari ilianza kwa kumnukuu kiongozi wa chama hicho cha upinzani akitoa wasifu wa marehemu kwa vyombo vya habari.
Kiongozi huyo alinukuliwa kwa kutoa kauli za kutoa wasifu chanya kwa marehemu na habari hiyo kumalizia kwa kusema kua mazishi hayo yaliongozwa na Mh. Jakaya kikwete Rais wa JMT.
Tafsiri ya vitendo hivyo ni kuwa Media haikumpa uzito kiongozi wa nchi na kumpa uzito kiongozi wa chama cha upinzani. Haikua sahihi.
Ukijaribu kufuatilia taarifa za habari pia zimekua zikikipa kipaumbele kikubwa chama hicho kuliko vyama vingine.
What is the hidden agenda, tutegemee nini kwa vyombo kama hivi vinapoamua kuwa biased?? Au ndio kama majibu kwa serikali kuwa na chombo chake cha habari TBC?? na Pro Chadema's kuanza kuigomea media hii kwa grounds kwamba kinaipa upendeleo serikali ya CCM?? Sidhani kama hili ni sahihi.
Media houses should play their role of reporting and not politics.
Hapo unazungumzia choice, lakini sisi tunazungumzia utaratibu, utaratibu haukuwa sahihi, hiyo ndio msingi wa lalamiko langu
Naendelea kusisitiza kuwa watanzania tumefika hapa tulipo kwa sababu ya wivu,kijicho,roho mbaya,chuki,upuuzi,matumizi mabovu ya akili tulizopewa,unyambilizi,uonevu,upinzani usio na tija,kudaganywa,kuvurugwa,njaa,ulevi na umbea wa watu kama huyu mleta mada!
Kwani huwa unashikiwa bunduki au shoka na kulazimishwa kuwatch itv?
Utakufa hivyo hivyo na chuki zako za kijinga!
Kwa siku za hivi karibuni nakwa kuzingatia siku ambayo kwa mtazamo wangu haikua haki kwa Rais wetu wa Jamhuri media hii katika maziko ya Mbunge wa Chalinze, ilimpa uzito mkubwa zaidi mwenyekiti wa Chadema bwn Mbowe kuliko kumpa uzito kiongozi wa Nchi.
Katika habari ya kwanza kabisa katika mfululizo wa habari za kitaifa, habari ilianza kwa kumnukuu kiongozi wa chama hicho cha upinzani akitoa wasifu wa marehemu kwa vyombo vya habari.
Kiongozi huyo alinukuliwa kwa kutoa kauli za kutoa wasifu chanya kwa marehemu na habari hiyo kumalizia kwa kusema kua mazishi hayo yaliongozwa na Mh. Jakaya kikwete Rais wa JMT.
Tafsiri ya vitendo hivyo ni kuwa Media haikumpa uzito kiongozi wa nchi na kumpa uzito kiongozi wa chama cha upinzani. Haikua sahihi.
Ukijaribu kufuatilia taarifa za habari pia zimekua zikikipa kipaumbele kikubwa chama hicho kuliko vyama vingine.
What is the hidden agenda, tutegemee nini kwa vyombo kama hivi vinapoamua kuwa biased?? Au ndio kama majibu kwa serikali kuwa na chombo chake cha habari TBC?? na Pro Chadema's kuanza kuigomea media hii kwa grounds kwamba kinaipa upendeleo serikali ya CCM?? Sidhani kama hili ni sahihi.
Media houses should play their role of reporting and not politics.
Mkuu wa nchi kwa sasa hana mvuto (CCM inabreed wapinzani ndiyo wana Pedy)
Simple calculations: Chadema cha wachagga + ITV ya wachagaa = ITV is Pro Chadema
Mahali fulani hivi....."Enyi magamba, ni nani amewaroga?" Damu za kina Daudi Mwangosi kutoka Iringa na meno ya kina Ulimboka kutoka msituni na makucha yao na nyingine nyingi za Arusha, Morogoro, Kiteto, Mtwara, Tarime.......mlizozinywa zinaelendea kuwakata ngebe. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!