Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,015
walichokifanya haikuwa sahihi kumpa uzito kiongozi wa upinzani while mkuu wa nchi alikuwepo na walichofanya ni kutuhabarisha tu kuwa alikuwepo, kitendo hiki kilimaanisha kwamba mhusika mkuu alikua kiongozi wa upinzani na si mkuu wa nchi , kosa kubwa..
Kwa siku za hivi karibuni nakwa kuzingatia siku ambayo kwa mtazamo wangu haikua haki kwa Rais wetu wa Jamhuri media hii katika maziko ya Mbunge wa Chalinze, ilimpa uzito mkubwa zaidi mwenyekiti wa Chadema bwn Mbowe kuliko kumpa uzito kiongozi wa Nchi.
Katika habari ya kwanza kabisa katika mfululizo wa habari za kitaifa, habari ilianza kwa kumnukuu kiongozi wa chama hicho cha upinzani akitoa wasifu wa marehemu kwa vyombo vya habari.
Kiongozi huyo alinukuliwa kwa kutoa kauli za kutoa wasifu chanya kwa marehemu na habari hiyo kumalizia kwa kusema kua mazishi hayo yaliongozwa na Mh. Jakaya kikwete Rais wa JMT.
Tafsiri ya vitendo hivyo ni kuwa Media haikumpa uzito kiongozi wa nchi na kumpa uzito kiongozi wa chama cha upinzani. Haikua sahihi.
Ukijaribu kufuatilia taarifa za habari pia zimekua zikikipa kipaumbele kikubwa chama hicho kuliko vyama vingine.
What is the hidden agenda, tutegemee nini kwa vyombo kama hivi vinapoamua kuwa biased?? Au ndio kama majibu kwa serikali kuwa na chombo chake cha habari TBC?? na Pro Chadema's kuanza kuigomea media hii kwa grounds kwamba kinaipa upendeleo serikali ya CCM?? Sidhani kama hili ni sahihi.
Media houses should play their role of reporting and not politics.
NASEMA TENA NA TENA........chokochoko zote hizi ni hasira za vichapo vya M4C PAMOJA DAIMA! Na bado

which kind of role you think TBC is playing?is it supposed to be doing what it is when you know its a nation TV?Kwa siku za hivi karibuni nakwa kuzingatia siku ambayo kwa mtazamo wangu haikua haki kwa Rais wetu wa Jamhuri media hii katika maziko ya Mbunge wa Chalinze, ilimpa uzito mkubwa zaidi mwenyekiti wa Chadema bwn Mbowe kuliko kumpa uzito kiongozi wa Nchi.
Katika habari ya kwanza kabisa katika mfululizo wa habari za kitaifa, habari ilianza kwa kumnukuu kiongozi wa chama hicho cha upinzani akitoa wasifu wa marehemu kwa vyombo vya habari.
Kiongozi huyo alinukuliwa kwa kutoa kauli za kutoa wasifu chanya kwa marehemu na habari hiyo kumalizia kwa kusema kua mazishi hayo yaliongozwa na Mh. Jakaya kikwete Rais wa JMT.
Tafsiri ya vitendo hivyo ni kuwa Media haikumpa uzito kiongozi wa nchi na kumpa uzito kiongozi wa chama cha upinzani. Haikua sahihi.
Ukijaribu kufuatilia taarifa za habari pia zimekua zikikipa kipaumbele kikubwa chama hicho kuliko vyama vingine.
What is the hidden agenda, tutegemee nini kwa vyombo kama hivi vinapoamua kuwa biased?? Au ndio kama majibu kwa serikali kuwa na chombo chake cha habari TBC?? na Pro Chadema's kuanza kuigomea media hii kwa grounds kwamba kinaipa upendeleo serikali ya CCM?? Sidhani kama hili ni sahihi.
Media houses should play their role of reporting and not politics.
Kwa siku za hivi karibuni nakwa kuzingatia siku ambayo kwa mtazamo wangu haikua haki kwa Rais wetu wa Jamhuri media hii katika maziko ya Mbunge wa Chalinze, ilimpa uzito mkubwa zaidi mwenyekiti wa Chadema bwn Mbowe kuliko kumpa uzito kiongozi wa Nchi.
Katika habari ya kwanza kabisa katika mfululizo wa habari za kitaifa, habari ilianza kwa kumnukuu kiongozi wa chama hicho cha upinzani akitoa wasifu wa marehemu kwa vyombo vya habari.
Kiongozi huyo alinukuliwa kwa kutoa kauli za kutoa wasifu chanya kwa marehemu na habari hiyo kumalizia kwa kusema kua mazishi hayo yaliongozwa na Mh. Jakaya kikwete Rais wa JMT.
Tafsiri ya vitendo hivyo ni kuwa Media haikumpa uzito kiongozi wa nchi na kumpa uzito kiongozi wa chama cha upinzani. Haikua sahihi.
Ukijaribu kufuatilia taarifa za habari pia zimekua zikikipa kipaumbele kikubwa chama hicho kuliko vyama vingine.
What is the hidden agenda, tutegemee nini kwa vyombo kama hivi vinapoamua kuwa biased?? Au ndio kama majibu kwa serikali kuwa na chombo chake cha habari TBC?? na Pro Chadema's kuanza kuigomea media hii kwa grounds kwamba kinaipa upendeleo serikali ya CCM?? Sidhani kama hili ni sahihi.
Media houses should play their role of reporting and not politics.
mkuu hapo nimeelewa kwamba ilikuwa ajabu sana kwa mkuu wenu kuhudhuria hayo mazishi ndio maana ikawa news sasa nimeelewa kwamba chadema sio chama cha kijamii kipo kwaajili ya maslahi binafsi..Habari kwa tafsiri isiyo rasmi ni "Taarifa mpya isiyojulikana kabla"
Hivyo basi ITV ingempa Mh. Raisi front page ya habari hiyo isingekuwa habari tena na badala yake ingeitwa Filam/tamthilia/kipindi fulani, na hii ni kwasababu majority of people wanaelewa kuwa Rahisi angekuwepo kwenye msiba huo ila hakuna aliedhani kama Kamanda wa Anga,Kiongozi kambi ya upinzani Bungeni,Mbunge wa Hai,Mh. Mboe angehudhuria mazishi hayo.
Na ndio maana ata huku Jf uliona kuna mtu alianzisha uzi unaoonyesha picha ya Kamanda wa Anga akiwa katika mazishi hayo na watu waligonga link zao.
NB:
Wivu ni adhabu inayomwadhibu asiyependa maendeleo ya wengine.
Hapo unazungumzia choice, lakini sisi tunazungumzia utaratibu, utaratibu haukuwa sahihi, hiyo ndio msingi wa lalamiko langu
wa jamii iliyostaarabika kwamba mahali anapokuwepo kiongozi wa nchi apewe uzito unaostahili
Mkuu ulishawahi kutoa hili lalamiko kwa TBC hapo siku za nyuma? Najua kabisa wanachofanya wale TBC wakifahamu vizuri.
aKILI YAKO INA SHIDA KAMA KUONA UNAONA HALAFU WAJIDAI HUONI HATA KUHISI HUHISI TU TBC HAIRUSHI HABARI ZA CDM HILO NALO HULIJUI PIA MCHAKATO MAJIMBONI 2010 ULIFANYA TIDO MHANDO AFUKUZWE SHABANI KISU ALIPONEA HILO HULIJUI PIA AU NI UZUZU WAKO TUhapa ninahitajika nikuelimishe kidogo, TBC ni televisheni ya taifa wajibu wake mkubwa pamoja na mambo mengine ni kuwahabarisha watanzania shughuli za serikali na kwa sasa serikali iliyopo madarakani ni ya CCM huwezi epuka hilo, baada ya hapo inakuja kwenye habari nyingine na kwa kiasi kikubwa sana TV hii imekua ikiripoti mambo mengi tu ya kijamii si ya CCM pekee, kama hivo karibuni mkutanao mkuu wa chama cha upinzani cha NCCR tbc ilirusha matangazo yake live, sasa sijui hiyo prception kua ni chombo cha CCM inatoka wapi??
Do you know what is news? Do you know what makes news? Do you know what are criteria for good and big news? If not, huna haki ya kukosoa. Kuwepo kiongozi mkuu wa nchi bado haku-make news for your information!walichokifanya haikuwa sahihi kumpa uzito kiongozi wa upinzani while mkuu wa nchi alikuwepo na walichofanya ni kutuhabarisha tu kuwa alikuwepo, kitendo hiki kilimaanisha kwamba mhusika mkuu alikua kiongozi wa upinzani na si mkuu wa nchi , kosa kubwa..