Is It True...?.

But the sad news are: it does not cure anything concerning your matters.. All of your complications will remain there.. You can just forget and relax for the moment!😡😡
 
Wakati fulani ni sawa,lakini wakati mwingine si sawa utajikuta ndo unajiongezea matatizo.
 
But the sad news are: it does not cure anything concerning your matters.. All of your complications will remain there.. You can just forget and relax for the moment!😡😡

Tatizo linakuja pombe ikishaisha tatizo huongezeka mara mbili yake.
 
Kwa mfano...?.


Kwa mfano wakati wa shida ambazo hazihitaji immediate response,km vile hasira zinazotokana na msongo wa mawazo hasa ambao huambatana na upweke,au mawazo yanayotokana na kuwakumbuka wapendwa wetu ambao wakati fulani uki-concentrate sana ktk kuwakumbuka unaweza kujikuta unachizika,kwa hiyo tumia mvinyo kidogo ilikupunguza hali hiyo,hata Biblia inasema Mpe kileo maskini asahau shida zake.Lakini zipo shida zinazo hitaji suluhisho la haraka km vile Magonjwa,Njaa,Huduma ya Elimu kwa watoto,n.k.hapo bwana pombe haina nafasi kabisa,na ukiitumia unaweza kuongeza tatizo.
 

Well said mkuu...!.
 
Kama wakati gani mkuu ?.

Kwamfano mmekorofishana na shem, labda unaweza kutoka uende ukapate 1 au 2 hata 3, lakini kama life imekuchanganya sidhani kama utafikiria hata hiyo bia coz hata chai labda hujanywa ndo ukanywe bia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…