Is it true!

cedrickngowi

Senior Member
Jun 9, 2012
148
23
Research have revealed that the frequently asked question by girls immediately after SEX is "WHERE IS MY UNDERWEAR".what do you think guys!
 
Unabana matumizi?

Maisha yenyewe magumu haya, kichipi kiduchu bila msimbazi hupati; halafu ukiwa muhifadhi lazima uangalie namna ya kusave Maji na kutopolute kwa madetergent! LOL
 
Maisha yenyewe magumu haya, kichipi kiduchu bila msimbazi hupati; halafu ukiwa muhifadhi lazima uangalie namna ya kusave Maji na kutopolute kwa madetergent! LOL

Chupi ndio inaongoza kwa kuharibu mazingira?
 
Chupi ndio inaongoza kwa kuharibu mazingira?

Umeshasikia kitu kinaitwa ecological footprint wewe?
Maji ya kifulia, process ya kuyasafisha kuyapump yanatumia umeme kiasi gani? Na huo Umeme unazalishwaje, huku kwetu ni deasil powered generator (emmision kibao).

Haya tuje kwenye OMO detergent, uzalishwaji wake kwanza lkn bado sabuni inaongeza acid kwenye ardhi.

So huoni ninasaidia sana kwa kutovaa nyupi?
 
duhhhhh hiyo sijui mkuuu..
mi na wangu ni bafuni baada ya kazi ngumu ..
Chupi baaaaadaye sana....
 
Kuna dada mmoja alijifanya kapinda akawa anatembea bila kuvaa hiyo nguo ndogo,

YY na kisket chake, sasa siku jamaa akawa anamtomasa kiaina, watu tunashangaa miguu imelowa km mafuta hv, ilikuwa bonge la soo.

Tafadhali muwe mnavaa koz inasitiri mambo mengi sana.
 
y wuld a lady ask that while they know men like to watch then walk back home commando style
 
Umeshasikia kitu kinaitwa ecological footprint wewe?
Maji ya kifulia, process ya kuyasafisha kuyapump yanatumia umeme kiasi gani? Na huo Umeme unazalishwaje, huku kwetu ni deasil powered generator (emmision kibao).

Haya tuje kwenye OMO detergent, uzalishwaji wake kwanza lkn bado sabuni inaongeza acid kwenye ardhi.

So huoni ninasaidia sana kwa kutovaa nyupi?

Ndio lakini ukizingatia udogo wa nguo yenyewe labda ni kwa asilimia 0.0000001%; too insignificant! By the way,newahi jaribu dry clean only?
 
Ndio lakini ukizingatia udogo wa nguo yenyewe labda ni kwa asilimia 0.0000001%; too insignificant! By the way,newahi jaribu dry clean only?

Nitakuwa natuma laundry Dar au mwanza coz the whole of West Tanzania hakuna dry cleaning services.

Lkn nayo bado inaacha footprint ya kutosha tu.
 
kaunga jamani,thats too dry dear,by the way huwa unavaa nani sasa?

Bibi yangu alikuwa havai, naendeleza mila na tamaduni. Akiwa period anakunja kitambaa na kistring (si G string ingawa inafanana); halafu ni nzuri kwa afya! LOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom