Sasha Fierce
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 361
- 5
- Thread starter
-
- #21
Y u want to hang arround with someone like that anyway????
if you dont associate with his activities which are above Quoted..
That makes you the partner in crime unless proven otherwise mbele ya jamii
Mbele ya sheria, Its possible that you are not a partner...
Tatizo linakuja kwenye jamii inayokuzunguka, ukikaa na mwizi na wewe mwizi,
Ndo mambo yalivyo huku kwetu tandale kwa tumbo
Sikubaliani na huo usemi, maana sio lazima na wewe uwe teja kama unarafiki teja. Tena unawezekana ukawa ni rafiki mzuri ambaye unamsaidia kuondokona na hilo...kutokana na mawazo finyu ya jamii yetu inayotuzunguka ndo hivyo tena... haina uwezo wakutafakari sana so huishia ku conclude tuu.
...nadhani kuna tofauti kati ya Drug dealer aka "pusher", na drug user aka "junkie" aka teja... sembuse ya kuwa na rafiki Jambazi, duh!!!
That really not true kuwa ukikaa na mwizi basi na wewe ni mwizi.Its a lot of things that make you hang around with that person lakini not necessarily matendo yake.all human being are not the same,so do you want to tell me kuwa ukiwa una hang out na alcoholic basi na wewe lazima uwe alcoholic?.Vitu kama hivi ina depend na personality yako mwenyewe kama upo tayari kufuata mkumbo.
Sasha why you wanna hang out na huyo teja why don't you come and hang out with Sahiba ?
Siyo vizuri ku judge people...mbona mungu haja kujudge wewe wala wewe wala wewe....we are all equal and we should be treating each other equally....No matter what you do,kumkimbia mtu eti kwa sababu anafanya thing illigal ni discrimination.
Wapendwa nina swali,
Is it true that if you happen to hang with a friend who is a criminal/drug dealer or mess around,that means you are a criminal/drug dealer or all the above?.
Thank you.
Discrimination dada yangu Kelly unamuona mtu anajidondosha gorofa ya sita we unamfuata tu matokeo kama hujashtakiwa kwa kumshawishi basi utakuwa umemsukuma.
SAHIBA.
Unfortunately one is always guilty by association.
If one has a friend who is a dealer/criminal as you say at one point one might handle contraband/stolen items without knowing and this definitely makes one guilty.
and then again "Waswahili hujuana kwa vilemba"
Always remember that "first impressions last impression". If you are seen to hang out with unsavoury characters-the so called dealers/criminals the natural assumption is that you are also a dealer/criminal. This is always hard to shake off.
hivi sasa lets say rafiki yako ame engage herself/himself kwenye drugs au ameanza kuwa mdokozi so instead of helping him/her utaamua kumuacha tuu?...inabidi umpe couseling mkalishe chini na mpe kipindi badala ya kum-abondon tuu!....that who how much humpendi rafiki yako.............saa nyingine tufikirie jamani siyo uungwana kabisa kukimbia watu na fun zao.
Kumkalisha chini na kumpa somo ni tofauti na ku hang out. Kama huyo rafiki yako ni mwizi na unajua kuwa ni mwizi halafu bado jioni ikifika mnaenda baa kutanua, utakuwa una condone tabia yake. Ukimkalisha chini na kumpa risala utakuwa unampa msaada. Akiendelea uwizi wake na wewe ukaendelea kumchekea chekea, mnapigiana simu..ooh shosti sijui hivi...sijui vile...ooh shosti leo nimeona kiatu cha Michael Kors pale Nordstrom lakini sina hela nataka niende nikakiibe...na wewe unakaa kimya...anaenda kukiiba na wewe husemi kitu, basi na wewe utakuwa na tabia kama yake ingawa ya kwako itakuwa bado haijajitokeza....
hivi sasa lets say rafiki yako ame engage herself/himself kwenye drugs au ameanza kuwa mdokozi so instead of helping him/her utaamua kumuacha tuu?...inabidi umpe couseling mkalishe chini na mpe kipindi badala ya kum-abondon tuu!....that who how much humpendi rafiki yako.............saa nyingine tufikirie jamani siyo uungwana kabisa kukimbia watu na fun zao....
Kwa wanaume jee?je what if rafiki yako w akiume anapenda kupiga wanawake does it make you the same kuwa na wewe lazima utakuwa unapenda kupiga wanawake?....
hivi sasa lets say rafiki yako ame engage herself/himself kwenye drugs au ameanza kuwa mdokozi so instead of helping him/her utaamua kumuacha tuu?...inabidi umpe couseling mkalishe chini na mpe kipindi badala ya kum-abondon tuu!....that who how much humpendi rafiki yako.............saa nyingine tufikirie jamani siyo uungwana kabisa kukimbia watu na fun zao....
Kwa wanaume jee?je what if rafiki yako w akiume anapenda kupiga wanawake does it make you the same kuwa na wewe lazima utakuwa unapenda kupiga wanawake?....
.............saa nyingine tufikirie jamani siyo uungwana kabisa kukimbia watu na fun zao....
Kwa wanaume jee?je what if rafiki yako w akiume anapenda kupiga wanawake does it make you the same kuwa na wewe lazima utakuwa unapenda kupiga wanawake?....
mhh tangu uhamie Meatu umekuwa mwanamalenga...hebu tutafsiria kupiga unakozungumziaKwa wanaume jee?je what if rafiki yako w akiume anapenda kupiga wanawake does it make you the same kuwa na wewe lazima utakuwa unapenda kupiga wanawake?....