Is It true

Y u want to hang arround with someone like that anyway????

if you dont associate with his activities which are above Quoted..

That makes you the partner in crime unless proven otherwise mbele ya jamii

Mbele ya sheria, Its possible that you are not a partner...

Tatizo linakuja kwenye jamii inayokuzunguka, ukikaa na mwizi na wewe mwizi,
Ndo mambo yalivyo huku kwetu tandale kwa tumbo

That really not true kuwa ukikaa na mwizi basi na wewe ni mwizi.Its a lot of things that make you hang around with that person lakini not necessarily matendo yake.all human being are not the same,so do you want to tell me kuwa ukiwa una hang out na alcoholic basi na wewe lazima uwe alcoholic?.Vitu kama hivi ina depend na personality yako mwenyewe kama upo tayari kufuata mkumbo.
 
Sikubaliani na huo usemi, maana sio lazima na wewe uwe teja kama unarafiki teja. Tena unawezekana ukawa ni rafiki mzuri ambaye unamsaidia kuondokona na hilo...kutokana na mawazo finyu ya jamii yetu inayotuzunguka ndo hivyo tena... haina uwezo wakutafakari sana so huishia ku conclude tuu.

...nadhani kuna tofauti kati ya Drug dealer aka "pusher", na drug user aka "junkie" aka teja... sembuse ya kuwa na rafiki Jambazi, duh!!!
 
...nadhani kuna tofauti kati ya Drug dealer aka "pusher", na drug user aka "junkie" aka teja... sembuse ya kuwa na rafiki Jambazi, duh!!!

They can all be your friend na usiwe kama wao, inategemeana na akili mkichwani mwako! Au tiseme ukiwa na ndugu, mtoto, anahitilafu kwenye tabia unamkimbia kwa kuwa na wewe usionekane hivyo! maana rafiki yako ni binadamu kama hao ndugu zako.
 
That really not true kuwa ukikaa na mwizi basi na wewe ni mwizi.Its a lot of things that make you hang around with that person lakini not necessarily matendo yake.all human being are not the same,so do you want to tell me kuwa ukiwa una hang out na alcoholic basi na wewe lazima uwe alcoholic?.Vitu kama hivi ina depend na personality yako mwenyewe kama upo tayari kufuata mkumbo.

I agree with you but kama nilivyosema on my post ni kwamba....

Mbele ya jamii watakuona na wewe ni mmoja wao

lakini mbele ya sheria ni kitu tofauti

na wewe mpaka kujiona/kujihisi hivyo probally ni jamii iliyokuzunguka ndo iliyokufanya uje hapa kupata ushauri

Ni mtazamo wangu tuu
 
Siyo vizuri ku judge people...mbona mungu haja kujudge wewe wala wewe wala wewe....we are all equal and we should be treating each other equally....No matter what you do,kumkimbia mtu eti kwa sababu anafanya thing illigal ni discrimination.
 
Sasha why you wanna hang out na huyo teja why don't you come and hang out with Sahiba ?
 
Siyo vizuri ku judge people...mbona mungu haja kujudge wewe wala wewe wala wewe....we are all equal and we should be treating each other equally....No matter what you do,kumkimbia mtu eti kwa sababu anafanya thing illigal ni discrimination.

Discrimination dada yangu Kelly unamuona mtu anajidondosha gorofa ya sita we unamfuata tu matokeo kama hujashtakiwa kwa kumshawishi basi utakuwa umemsukuma.

SAHIBA.
 
Wapendwa nina swali,

Is it true that if you happen to hang with a friend who is a criminal/drug dealer or mess around,that means you are a criminal/drug dealer or all the above?.

Thank you.

Unfortunately one is always guilty by association.

If one has a friend who is a dealer/criminal as you say at one point one might handle contraband/stolen items without knowing and this definitely makes one guilty.

and then again "Waswahili hujuana kwa vilemba"

Always remember that "first impressions last impression". If you are seen to hang out with unsavoury characters-the so called dealers/criminals the natural assumption is that you are also a dealer/criminal. This is always hard to shake off.
 
Discrimination dada yangu Kelly unamuona mtu anajidondosha gorofa ya sita we unamfuata tu matokeo kama hujashtakiwa kwa kumshawishi basi utakuwa umemsukuma.

SAHIBA.

Je umesoma kitu kinaitwa psycology?...ukiiona mtu anataka uruka gorofani inabidi utumie pyscology yako kuweza kuongea naye ili aisweze kuruka....kwanza mpaka anataka kuruka wewe at that time unakuwa upo wapi kwanza...hebu nielezee situation ya whole senario!
 
Unfortunately one is always guilty by association.

If one has a friend who is a dealer/criminal as you say at one point one might handle contraband/stolen items without knowing and this definitely makes one guilty.

and then again "Waswahili hujuana kwa vilemba"

Always remember that "first impressions last impression". If you are seen to hang out with unsavoury characters-the so called dealers/criminals the natural assumption is that you are also a dealer/criminal. This is always hard to shake off.

hivi sasa lets say rafiki yako ame engage herself/himself kwenye drugs au ameanza kuwa mdokozi so instead of helping him/her utaamua kumuacha tuu?...inabidi umpe couseling mkalishe chini na mpe kipindi badala ya kum-abondon tuu!....that who how much humpendi rafiki yako.............saa nyingine tufikirie jamani siyo uungwana kabisa kukimbia watu na fun zao....

Kwa wanaume jee?je what if rafiki yako w akiume anapenda kupiga wanawake does it make you the same kuwa na wewe lazima utakuwa unapenda kupiga wanawake?....
 
Last edited:
hivi sasa lets say rafiki yako ame engage herself/himself kwenye drugs au ameanza kuwa mdokozi so instead of helping him/her utaamua kumuacha tuu?...inabidi umpe couseling mkalishe chini na mpe kipindi badala ya kum-abondon tuu!....that who how much humpendi rafiki yako.............saa nyingine tufikirie jamani siyo uungwana kabisa kukimbia watu na fun zao.

Kumkalisha chini na kumpa somo ni tofauti na ku hang out. Kama huyo rafiki yako ni mwizi na unajua kuwa ni mwizi halafu bado jioni ikifika mnaenda baa kutanua, utakuwa una condone tabia yake. Ukimkalisha chini na kumpa risala utakuwa unampa msaada. Akiendelea uwizi wake na wewe ukaendelea kumchekea chekea, mnapigiana simu..ooh shosti sijui hivi...sijui vile...ooh shosti leo nimeona kiatu cha Michael Kors pale Nordstrom lakini sina hela nataka niende nikakiibe...na wewe unakaa kimya...anaenda kukiiba na wewe husemi kitu, basi na wewe utakuwa na tabia kama yake ingawa ya kwako itakuwa bado haijajitokeza....
 
By the way sina rafiki mwizi...ila what i was trying to say ni kwamba..saa nyingine people need help,they need someone to talk too..siyo kila mtu anauwezo wa kusolve matatizo yao kuna wengine wanajua wanamatatizo lakini hawajui how to solve them na kuna wengine wanamatatizo but wako on denial.so people like those they really need help badala ya kuwakimbia.

Ok mfano mzuri kama dr's right!...ina maana wale ma-dr (psychology dr)ambao wanakaa na kusikiliza matatizo yako and thrying to help you to overcome it ina maana nao pia wanakuwa na tabia kama za hao wagonjwa zao since wanakaa chini for hours just to listen to them every other day?...ni kwamba wanataka kuwasiaidia...so kusema kuwa mtu atakuwa na tabia kama ya rafiki yake na bado haijajitokeza that is not true...
 
hivi sasa lets say rafiki yako ame engage herself/himself kwenye drugs au ameanza kuwa mdokozi so instead of helping him/her utaamua kumuacha tuu?...inabidi umpe couseling mkalishe chini na mpe kipindi badala ya kum-abondon tuu!....that who how much humpendi rafiki yako.............saa nyingine tufikirie jamani siyo uungwana kabisa kukimbia watu na fun zao....

Kwa wanaume jee?je what if rafiki yako w akiume anapenda kupiga wanawake does it make you the same kuwa na wewe lazima utakuwa unapenda kupiga wanawake?....

is hard to help people like that but try and good luck kelly.hope is not you.

Sahiba
 
hivi sasa lets say rafiki yako ame engage herself/himself kwenye drugs au ameanza kuwa mdokozi so instead of helping him/her utaamua kumuacha tuu?...inabidi umpe couseling mkalishe chini na mpe kipindi badala ya kum-abondon tuu!....that who how much humpendi rafiki yako.............saa nyingine tufikirie jamani siyo uungwana kabisa kukimbia watu na fun zao....

Kwa wanaume jee?je what if rafiki yako w akiume anapenda kupiga wanawake does it make you the same kuwa na wewe lazima utakuwa unapenda kupiga wanawake?....

Definately one should help a friend. I hear you, we always want to make sure that we are there for our friends through thick or thin, but not to jail...no no...no...A friend with a problem not a confirmed criminal that who no matter how nice they are is still a criminal.
Kama it's a drug or a klepto problem, one can do their best to help. Lakini kama NN alivyo sema if ones friend is indeed a thief/criminal, there is no point kumchekea chekea coz, there will be no difference, you will all be lumped together. At some point one should draw the line. Make a stand. Hanging out with a criminal who is not repentant does not do anybody any good.
 
.............saa nyingine tufikirie jamani siyo uungwana kabisa kukimbia watu na fun zao....

Kwa wanaume jee?je what if rafiki yako w akiume anapenda kupiga wanawake does it make you the same kuwa na wewe lazima utakuwa unapenda kupiga wanawake?....

duuuh! hizo fun za kuwa na rafiki muuza unga, au jambazi?... noma!

miaka ya 90's kwenye safari zangu nilikuwa nafikia nyumbani kwa mshkaji ambaye sikujua kumbe ana deal na hiyo biashara.

Siku ya siku kaenda kumpokea kijana toka 'shamba', ambaye baada ya muda hapo home akaanza 'kuzinya' kete kadhaa wa kadhaa... It was my 1st and last time kutia mguu kwake.

Naamini hata ukiwa na rafiki jambazi, naye akakubaini umemtambua..atakumaliza usijemchoma!

Tabia nyingine i.e, Ulevi, uzinzi, na katika na hayo sio kama urafiki na jambazi au Drug Dealer ambao ni hard core Criminals, unless nawe ni mshiriki.
 
Yaelekea kuna watu hawaelewi maana ya rafiki wanachanganya na mtu anaejiweka karibu akiwa na lengo la kusaidia kum-badili mtu mwenye tabia mbaya.

inabidi wataalam wa mahusiano watupe tafsiri kwanza ndio tuweze kuelewana.
 
Sansa it seems kuwa hukuwa na swali bali ulitaka kuwakilisha mtazamo wako juu ya usemi huo kwa sababu unavyoargue ni kama vile hukubaliani na jibu ulilotaka kujibiwa kwa kuwa tayari unalo jibu lako and that makes your question invalid!!

Kwa mtazamo wangu mimi kama MwanajamiiOne nakubaliana na wewe kuwa kuwa na rafiki mwenye tabia flani haimaanishi kuwa nawe unazo hizo tabia. Ni kweli kabisa unaweza kuwa na rafiki ambaye ana tabia mbovu na bado usiwe unashirikiana nae katika tabia hizo. Tatizo linakuja kwa watu wanaotuzunguka kwani wengi wa wanajamii huwa tunaamini ya birds with the same fearthers fly together. basi nawe utawekwa kwenye mkumbo ingawa hunazo hizo tzbia.

So what matters ni wewe umeipa nafasi gani jamii inayokuzunguka kiasi cha kujali inavyokujudge otherwise inawezekana kabisa kuwa na rafiki shoga na wewe usiwe shoga......
Nawakilisha
 
Kwa wanaume jee?je what if rafiki yako w akiume anapenda kupiga wanawake does it make you the same kuwa na wewe lazima utakuwa unapenda kupiga wanawake?....
mhh tangu uhamie Meatu umekuwa mwanamalenga...hebu tutafsiria kupiga unakozungumzia
 
Kwani rafiki lazima awe wa jinsia yako?, naamini rafiki aweza kuwa wa jinsia tafauti ila tabia si rahisi kuwa tafauti, marafiki huwa na urafiki ajili ya tabia zao kuendana/kulandana. marafiki hutafutana kutokana na kuona kuwa wanafanana katika mifumo ya kitabia na kimaisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom