Is It True Tz And Ug Ladies Are Better Than Kenyan

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Wakuu, hii nimekutana nayo kulee kwa jirani zetu (kama ni recycle mnisamehe)

http://kenyanlist.com/kls-listing-show.php?id=11389

Listing #11389 by ›› Sahau on 21-May-2008 . Viewed 2973 times . Replied to 69 times . Printed 55 timesKenyalisters,

There was an article in the dailies that Kenyan men who dare work in Namanga always end up marring a Tanzanian lady even if the man was already married. Some of the men who have married Tanzanians when interviews said:

Tz ladies know how to treat men (like a king)
They never nag or irritate the husband
The never want to behave or fight to be equal to the husband
They are submissive and humble
They don't argue much with their husbands

In a nutshell, one man said since he married the Tanzanian lady, he stopped drinking! He always looks froward to going home to be treated like a king! When he was living with his Kenyan wife, he would drink late to avoid spending time with his wife?

"One thing ladies ought to know is that any man would respect and love a submissive woman more than he would a nagging/abrasive/loud woman - and this is what Kenyan women are made of!" The men said.

Is this true?
 
Lo! Ningekuwa niko single I would have gone for Kenyan husband. Because Tanzanian male don't realize what they have.
 
kweli tupo juuuuuuuuuuuuuuu wana wake wa kitz,ila wanaume wa kitz hopeless kabisaa....
 
hahahhahhaahahah mie naenda kwa wagambia maana wanaume zetu wa kibongo hawajui thamani yetu
 
generally the statement is correct that manzi ya Kikenya ni ugliest kwenye east african federation!
 
ngoja nione mchango wa wale wakenya wanaojishauaga na ngebe zao humu,wamejaa kule international forum hii mada ungeipeleka kule tuone reaction yao!...mnh mnh...
 
Kuna ukweli ndani yake. Nafanyakazi ofisi moja na Mkenya. Kwenye maongezi yetu ya kawaida ameapa kuwa hatafanya urafiki na mwanamke wa Kitanzania. Nilipomuuliza kwanini aliniambia kuwa anaogopa kuvunja ndoa yake kwakuwa ukiingia kwa Watoto wa TZ huwezi kutoka na akatoa mifana iliyosahihi kabisa hapa tulipo juu ya Mnigeria na Mghana walivyobanwa kimapenzi nna watato wa Kibongo hawafurukuti kabisa. Vilevile hata kwenye maongezi yetu ya kawaida tunavyokuwa wato toka Ukanda huu wa kwetu, option ya kwanza ya wanaume wengi hapa ni kwa wa TZ, UG ukishindwa kabisa kwa baba Moi. Kwahiyo kwa mazingira ninayoishi, na yale yanayofanyika na kusikika ni sahihi kuwa watoto wa Bongo wako juu ila Dada zetu hapa wanatusaga sana sisi wanaume wanatuambia kuwa kwenye miti hakuna wajenzi.
 
ongelea inner personality bana badala ya ugly n wat not,,,,otherwise kenyan men are hunting Tz's women kwa udi na uvumba simply bse we are unique n better in character

Kwenye character wanatofautiana pia kulingana na makabila yao.Again hii ni general rule,kwahiyo kuna exceptions.Niliwahi ishi na jaluos,kalenjin na wakikuyu.Generally:Manzi wa Kikuyu ni worst kwa character.Jaluo wako romantic sana,wanajua sana Kiingereza.Kulikuwa na mdada mmoja wa kikalenjin japo hakuwa mrembo sana,lakini alikuwa na tabia nzuri kweli,utadhani si Mkenya
Kwahiyo WiseLady,ngoma draw hapo kwani hata manzi wa Kikenya ni wepesi sana kwa 'masela' wa kibongo!
 
Kwenye character wanatofautiana pia kulingana na makabila yao.Again hii ni general rule,kwahiyo kuna exceptions.Niliwahi ishi na jaluos,kalenjin na wakikuyu.Generally:Manzi wa Kikuyu ni worse kwa character.Jaluo wako romantic sana,wanajua sana Kiingereza.Kulikuwa na mdada mmoja wa kikalenjin japo hakuwa mrembo sana,lakini alikuwa na tabia nzuri kweli,utadhani si Mkenya
Kwahiyo WiseLady,ngoma draw hapo kwani hata manzi wa Kikenya ni wepesi sana kwa 'masela' wa kibongo!

roja that! Yani hapo sina la kuongeza na ukija hapo kwa wadada wao ni ngoma droo kweli..kuna lile sred lingine la wanawake wa kikenya humu limezungumzia their true colour!:coffee:
 
ongelea inner personality bana badala ya ugly n wat not,,,,otherwise kenyan men are hunting Tz's women kwa udi na uvumba simply bse we are unique n better in character

Hapo mkuu ni kweli nimekuwa nao sana wanakiri kuwa waTZ ni wa aina yake,najivunia dada zangu wakibongo mazee
 
ongelea inner personality bana badala ya ugly n wat not,,,,otherwise kenyan men are hunting Tz's women kwa udi na uvumba simply bse we are unique n better in character
Kenyan men they are after land msijidanganye its because of love, its because of LAND
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom