Is it possible?

Yahemovich

Senior Member
Jan 20, 2011
170
3
Habari wanaJF.
Mimi ninaswali tu.
Hivi ni kweli inawezekana mtu ajitangaze Mtandaoni
anahitaji mpenzi/mchumba akampata na kuishi nae wakadumu kama wana ndoa?
 
Endelea sana kuswali...
Sugua kipandauso utasikilizwa ombi lako la kupata mchumba JF!
hAKUNA LISILOWEZEKANA!
 
tatizo sio kupata tatizo ni je huwa kunasafari kweli maana kunawatu umekuwa ni mtindo wao kujitangaza ila continuation report hawatoi.
 
Je, wanaopatana kwa njia hii wanaweza kuendana kitabia?
Hadi waaminiane hivyo mara yakwanza tu?

Kwani nani amesema wanaaminiana mara ya kwanza?Hata unaekutana nae mtaani unatumia muda kumjua...hivyo hivyo online!
 
Nafikiri ukianza mawasiliano online, utachukua muda wa kufahamiana na kuona kama kweli mna-match kuwa mume na mke! Sidhani kama kulingana na sifa zile zinazowekwa hapa, basi ndo watu wanakubaliana kuwa wachumba! Nafikiri ni mwanzo wa kukutana tu!
Ingekuwa vizuri kama wapo ambapo wamepata wenzi wao thru online wakatupa ushuhuda mambo yaliendaje.
 
Good idea ngoja tuwasubiri, ili tuelewe.
 
Back
Top Bottom