Wakuu habari, naomba kujua hivi samsung galaxy note 4 kwa 500,000 inawezekana? Nimemkuta mkenya kwenye kupatana anauza hiyo bei.nataka kununua je ni kweli au utapeli.
Sio kweli...Samsung note 4 nimenunua dubai kwenye mtaa wa maduka ya jumla pale Deira kwa usd 480..huyo atakua kanunua wapii auze bei hiyo ambayo ni kama usd 250