Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Usiangalie!!Funga macho!!
Ahhhh anatuletea vurugu tu wakati ye alipozaliwa kitu ya kwanza alonusa na kuona ni hiohio.....avae sleeping mask kabisa akinanihii lol ha ha haha ha ha ha haaaaaaaaaa.....mbona mkali leo...awe anafanya tu gizani na asiweke pua yake huko au sijui afukize udi asiipate ile harufu.....!
Ahhhh anatuletea vurugu tu wakati ye alipozaliwa kitu ya kwanza alonusa na kuona ni hiohio.....
Kitu ukishakitia hitilafu bana hata kipendeze vipi utakitafutia kasoro tu mpenzi!!sasa kama kitu hakipendezi machoni pake kuna haja gani ya kuuliza? nikisema mi ni kizuri sijui kama kitabadilisha macho yake yaonacho....!
Kitu ukishakitia hitilafu bana hata kipendeze vipi utakitafutia kasoro tu mpenzi!!
Itabidi jamaa akamuone shrink nadhani ana matatizo ya kisaikolojia!!!As long as he is straight he needs to learn how to get used to the vajayjay!!:smile-big:Yote yetu mpenzi,tuendelee tu kukitumia kwasababu kiliumbwa kwa sababu zake....tuzae tu na kufurahia kiungo hicho.
ubaya au uzuri wa muonekano hauondoi umuhimu......!