Is it cost effective kupangia mchepuko chumba

huo mchepuko/ girlfriend wako hana huruma kabisa....yani kila wiki anateketeza malaki? hasemi beby hiyo hela kafanyie biashara....!!
 
mkuu kwani unamjua huyo mpaka useme anapata hasara inawezekana kibopa au mbunge wa bunge la katiba

Hata kama wewe ni bilgates, hyo hela ni kuchezea tu
 
Si mchezoooo,kampangie tuu geto,alafu punguza matumizi wew mwanaume loo hata kama unazo...unamzoesha vibaya atakua kakupendea ela hanalolote...mpunguzie matumizikama atakuona humfai ndo vizur mpigane chini kila mtu atafute ustaarabu wake..na ukianza mahusiano mapys uwe makiniii..si ajabu hata wazaz wako huwakei namna hiyo acha ujinga
 

Always keep in mind that it is not just about cheaper it is about efficiency. Determine where you spend your money. Gives you a clear idea of what you need and eliminates unnecessary.Kwanza chukua chumba uswahili,pili usichuke wanawake wa university,wewe huja soma watakupa shida
 
Wewe unafanya shughuli gani za kukuingizia kipato?
Kama ni muajiriwa wa kawaida na kamshahara kako kanakuruhusu kuyafanya haya harakisha mtafute mwanasaikolojia akusidie-utaokota makopo siku si nyingi.
Kama si mfanyabiashara na unayafanya haya utakuwa ama unauza mali za wizi, madawa ya kulevya au tena mwizi kabisa kama si jambazi kabisa.

Lakini nikusaidie tu maana pengine hayatuhusu sana na ni maisha yako menyewe;
Tuchukulie wastani mnakutana mara 2 tu kwa wiki.
Kwa mwezi mmoja inakuwa mnakutana mara 8 (Tshs. 150,000*8=1,200,000)

Mfuko mmoja wa Cement manunuzi hadi kuufikisha Site si zaidi Tshs.15,000.

Niku-Swalike; Unafahamu ni mifuko mingapi unaiteketeza kwa mwezi mmoja tu?

Acha umbwiga tafakari.
 

Eti madai yake hajali hela zipo tuu zinatafutwa uuuwiiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…