Mkuu ulisoma Topic inaitwa Logic na ukaielewa?I normally think about this reality and get lost on its logic. Why is it so? How can you say that something negative once multiplied results into positive? Is it really correct?
You are getting the point wrong. What does positive stand for after negative is multiplied my negative is different from what you are making your logic.I normally think about this reality and get lost on its logic. Why is it so? How can you say that something negative once multiplied results into positive? Is it really correct? Or we swallow the answer without critical thinking?
My opinion: let mathematicians rethink again about its answer. For me it is wrong. It is like saying once you increase debts then it turns into equity or you no longer pay the debts i.e they are cancelled
Changia hoja usijifanye umezaliwa na kukulia London.Kingereza Cha kuokotea makopo jalalani
Logic yake ni hii. Negative maana yake ni kiasi chini ya Sifuri(Imaginary). Hivyo Hesabu yoyote inayohusisha -ve, tafsiri yake ni kitu ni hakipo. so ukizidisha ni unakuwa unatafuta kilichokuwepo before.It is like saying once you increase debts then it turns into equity or you no longer pay the debts i.e they are cancelled
Nimekuelewa mkuuLogic yake ni hii. Negative maana yake ni kiasi chini ya Sifuri(Imaginary). Hivyo Hesabu yoyote inayohusisha -ve, tafsiri yake ni kitu ni hakipo. so ukizidisha ni unakuwa unatafuta kilichokuwepo before.
Mfano swali kama:
Mcheza kamari hupoteza 2,000 kwa siku, Je alikuwa na kiasi gani siku 4 zilizopita?
-2,000 x -4 = 8,000.
Utapata alikuwa na Shilingi 8,000.
-2 × -3 maana yake ni SAWA na kusema una deni la sh 2/=, Hilo deni likiongezeka Kwa mara 3, utakuwa na deni la sh6/=, Sasa negative sign kwenye 3 tuseme imaanishe "kinyume", kwahiyo deni la sh 6/= kinyume chake ni faida ya sh 6/= .Ndiyo, inapaswa kuwa hivyo kiuhalisia lakini.
You deserve to be a teacher pal..Logic yake ni hii. Negative maana yake ni kiasi chini ya Sifuri(Imaginary). Hivyo Hesabu yoyote inayohusisha -ve, tafsiri yake ni kitu ni hakipo. so ukizidisha ni unakuwa unatafuta kilichokuwepo before.
Mfano swali kama:
Mcheza kamari hupoteza 2,000 kwa siku, Je alikuwa na kiasi gani siku 4 zilizopita?
-2,000 x -4 = 8,000.
Utapata alikuwa na Shilingi 8,000.
Kaka nimekuelewa sana aisee yaani ungekuwa karibu ningekununulia hata juice ya Mango kabisa [emoji23]Ipo ivi mathematical kuzidisha ni kutafuta dhamani ya base mara certain times. Mafano 2 x 4 ni 8.
Hapa tunapata dhamani ya 2 mara nne zaidi. Hii inamaanisha dhamani ya 2 x 4 ni kubwa kuliko dhamani ya 2"
Kwenye issue negative ipo ivi, -2 ni kubwa kuliko -4, hapa -2 ipo maximum ikiwa inaendelae -3, -4 ... -99 hizo sio maxmum.
Ikiwa kuzidisha ni kupata maxmum ( namba kubwa) tukisema -2 x -4 = -8, hapa tuna mwambia mtu -8 ni kubwa kuliko -2 au ukiwa na deni la 2 ukikopa mpaka ukafika mara 8 zaidi unapata unafuu kuliko kubaki na deni la 2 ambapo sio kweli
Kiufupi yani mtu mwenye deni la -2 anayo nafuu kuliko mtu mwenye deni la -8.. Uki zidisha -2 × -4 ni kutafuta dhamni ya ndogo zaidi (Kuzidisha negative kwe negative ni kurudi nyuma) ili kukupa unafuu. Inakuambia ukiwa na deni la -2 kwa watu wanne ww dawa ya deni lako ni kulipa sh 8 sio kuleta janja janja
😂Unaujua maana ya Msemo wa ADUI wa ADUI yako ni RAFIKI yako?
Umesomeka vemaLogic yake ni hii. Negative maana yake ni kiasi chini ya Sifuri(Imaginary). Hivyo Hesabu yoyote inayohusisha -ve, tafsiri yake ni kitu ni hakipo. so ukizidisha ni unakuwa unatafuta kilichokuwepo before.
Mfano swali kama:
Mcheza kamari hupoteza 2,000 kwa siku, Je alikuwa na kiasi gani siku 4 zilizopita?
-2,000 x -4 = 8,000.
Utapata alikuwa na Shilingi 8,000.
Mjadala umeishaLogic yake ni hii. Negative maana yake ni kiasi chini ya Sifuri(Imaginary). Hivyo Hesabu yoyote inayohusisha -ve, tafsiri yake ni kitu ni hakipo. so ukizidisha ni unakuwa unatafuta kilichokuwepo before.
Mfano swali kama:
Mcheza kamari hupoteza 2,000 kwa siku, Je alikuwa na kiasi gani siku 4 zilizopita?
-2,000 x -4 = 8,000.
Utapata alikuwa na Shilingi 8,000.
When they fail to reason with you they criticize you.Changia hoja usijifanye umezaliwa na kukulia London.
hahaha noma sana, great analogyMcheza kamari hupoteza 2,000 kwa siku, Je alikuwa na kiasi gani siku 4 zilizopita?
-2,000 x -4 = 8,000.
Utapata alikuwa na Shilingi 8,000.