are you in a relationship now????? if not give that hore a second chance ........but don't expect any thing special from him (tabia zake na kila kitu unakijua usitegemee muujiza hapo)
ushauri wangu mkubalie alafu mapenzi yakinoga mcheat tena mcheat na mimi

Kilichonifanya nije kwenu niombe mawazo yenu nashindwa kujua kama yupo serious? mahari na ndoa. Nini kitanihakikishia kua hataniumiza tena? imani yako tu binti.
Natumaini wanajamvi wote wazima...nimewamiss wote baada ya kuadimika kwa muda kidogo.
Back to the topic....Kuna kaka niliwahi kua na mahusiano nae miaka kama mitatu iliyopita, nilimpenda sana lakini tuliachana baada ya kugundua alikua ananicheat, niliumia sana kwani nilimpenda ila sikua na jinsi sababu alinidanganya.Maisha yaliendelea na nikamsahau kabisa. Yapata kama miezi miwili sasa huyu kaka amekua akiniandikia na kunipigia na bila kuchanganya maneno aliniambia anajutia kosa alilofanya na anaomba tuanze upya9 mwanzo aliomba msamaha nikamwambia nimemsamehe ila tusiendelee).Sijamkubalia ila nimekua nikimuuliza kwanini amerudi wakati alinichanganya akadai ule ulikua ni ujana unamsumbua na hakua amewaza kusettle bado ila sasa anataka kuoa na kutulia hivyo anaomba nimkubalie niwe nae.
Kwa upande wangu siwezi sema namchukia ila alichofanya nilichukulia kama challenge za mahusiano nika move on. Hivi amerudi kuna sparks na feelings kwake zinarudi ila siziamini ukizingatia tuko mbali nimemuambia tuwe tu marafiki (najipa muda kumsoma kama amebadilika naweza rudiana nae sipo kwenye mahusiano kwa sasa na kama nimpango wa Mungu huko mbeleni mengine yatakua.)
Kilichonifanya nije kwenu niombe mawazo yenu nashindwa kujua kama yupo serious? Nini kitanihakikishia kua hataniumiza tena?
Naamini wapo waliona experience ya urudiana na ex watanisaidia lakini na pia naamini people desrve a second chance if they earn it!
Nadhani nimeeleweka mnisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nimejitahidi kuwasilisha la moyoni. Natanguliza shukrani.
Hahahahaaa lol we kiboko ati
sema haki ya mungu
Hahahah ntakua kilaza wa pili sasa....no I'm not in a relationship now. Asante kwa ushauri lakini
kutembea na kilaza haimaanishi na wewe utakuwa kilaza wewe utabaki kuwa binti2013 mfana mzuri nina date na Tumboo mbona yeye hajawa kilaza???? (hataivyo nina mpango wa kumtema siku sio nyingi )
........I see u still have that feeling kwa jamaa kama bado unampenda mkubalie tuu sasa utafanyaje hahahahahahaha ninavyojua mimi sisi tunarudishaga "majeshi" kwa manzi wanasema ku"retreat" kwa sababu tunazozijua lakini sio kwasababu tumejuta (usiombe kuzijua hizo sababu)
..........
Mwanaume akikucheat akakurudia hua ana pause tu..... then mkishakua stable ana rud kule kule...... but kama bado unampenda mwambie muoane tho hataacha kucht ila atleast utakua umewekwa ndani