is he Bi?

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
772
hauwezi kumdhania.Hata siku moja,ni one of the MD's in town running his own business.Well off and Smart.

Bright married and a father of [...kapuni..] childrens.

How did i came to prove this.He's having a big Lounge somewhere where he uses to hang out till late hours after job...mmh!! Ndio siku moja i was there hadi kama saa 6 ivi usiku na nilitoka to toilet na i found him kissing a guy kwenye kona ambayo ilikua giza.He didnt see me.When was out of toilet hawakuwepo;kuchunguza nikagundua wapo kwenye gari yake na utulivu ulitawala kwa muda.Gari ilifichwa kwenye giza kdogo...nikala poz mbali kdogo walitoka after 30minutes ivi na is like alianza jamaa na akawa anarekebisha suruali kwa maana kuwa aliivua humo ndani..........baadae waliondoka wote na what i know is that alirud nyumbani asubuh saa 11...,nimekua nikikutana nae namkwepa plus kujisikia aibu sana...hasa ukizingatia alikua mtu mhm sana kweny maandaliz ya ishu yangu next month...
 
Hujaeleweka, unataka kuelezea habari za mtu anayekuhusu huku ubamhifadhi, hii inaonesha tangu umegundua huyo MD wako anawageuza wanaume wenzie umekuwa unasumbuka nani umsimulie hiyo habari wakati huohuo hutaki kuisambaza as ni kashfa na aibu kubwa kwake, familia yake, wafanyakazi na wewe pia. Sasa ulivoandika hapa imekusaidia kurelease habari moyoni mwako huku ukiwa umemsitiri bosi wako, hongera kwa busara uliyotumia.
 
Hii ndio habari ya kwenda kuuza kwa Shigongo.....(am just joking).
Nadhani ni busara kuachana na kufuatilia habari za huyo jamaa, na muhimu ni kuwa mbali naye.
 
...hueleweki,anza upya...
 

...hueleweki,anza upya...

Sasa haelewki nini wakuu, hv mnadhani wanaosemwa wao hawaijui jf!!!???
 
Unasema ni mtu muhim kwenye maandalizi ya ishu yako sio?!!
Labda uje na mkasa mwingine siku si nyingi!!

Haya kila la kheri!
 
Sasa haelewki nini wakuu, hv mnadhani wanaosemwa wao hawaijui jf!!!???
...kwanza kasema hawajamuona,pili hajatumia jina halisi na tatu kama anawaogopa kwanini alete uzi humu...? ni heri aache kuliko kufanya mawili yakiwa nusunusu....
 

Uandishi kazi ngumu sana. Just imagine huyu naye ni mwandishi wa habari.......

 
huyu mtoa mada mbea tu, ndio maana amekosa mtiririko
 
umetumia busara sana kuandika kwa namna ambayo umemhifadhi huyo bosi wako ilihali ukipunguza upepo uliokuwa umejaaa kifuani pako.
ushauri wangu kaa kimya soma tu koment za watu ili zikupe unafuu manake utakuwa unacheka. usijibu usijejikuta unakuwa seduce ku disclose kila kitu hapa.
 
Uandishi kazi ngumu sana. Just imagine huyu naye ni mwandishi wa habari.......

aisee alikuwa na kaupepo kamejaa sana kiasi kwamba asingekatoa angepasuka kwa pppresha.
sasa amesha relaese tension nimemsifu kwa hilo.
uandish wake amecover vitu vingi sana na bora alivyoandika hivi manake ni ishu mbaya
 

umeona eh..watu wanapenda kweli kusikia wenzao wakitajwa humu laivu laivu....naheshimu uhuru wa mtu binafsi
 
Imefikia wakati tutafute positive kwenye negative,la sivyo maisha yatakua na vimbunga visivyoisha
 
Why are you even bothered? Unajua hadi akirudi home kwake saa ngapi! Unamtolea macho?
 
Jamani. ..
Najaribu kuunganisha hata haviungi...
Saa 6 kissing kwenye kona....wakapotea, 30minutes wakatoka...halafu aliingia home saa 11... Just curious, kutoka saa 6 na nusu mpaka saa 11 ulikuwa unachabo tu?
 
Yahaya unaishi wapi??,kwani jina lako halisi nani??
 
so what?
Kipi kimekufanya kuja kuandika jamii forums?
umesema ni MD,ana business yake binafsi,he is smart ets so unataka awe perfect?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…