Is God fair ?




Lets say umeoa au umeolewa,full committed to yo marriage..you love God,you serve him to the fullest....then unarealiaze mwenzio kakuletea AIDS..what is your mistake?

Why Mungu asikuepushie ili kuprove fairness?i do not blame though...was curious to know
 
Before asking if god is fair, an even more fundamental question is, does god exists or is this just a false idea?

I hope he do....ulishawahi kujiuliza maswali kama..what is the source of the universe?who created man?na maswali mengine ambayo scientists wameshindwa kujibu?
 
Ningeshangaa kama kiranga, asingekatiza huku. Samahani kiranga sio kwamba nakuombea kifo maana sote tutakufa, ila nitashangaa ikiwa siku unaondoka duniani ndugu zako wanaanza kukuombea kwa MUNGU akulaze mahali pema wakati hata ulikuwa humwamini!

Haaaahaaa...jf never boring
 
God is not fair! So be carefull not to rely on him! So if you fail don't blame him. If you win it is your efforts!

Daaa!mee naamini Mungu yupo as the bible says...Mpumbavu asema moyoni mwake hakuna Mungu
 
My dia kabla hujaanza kumlaumu Mungu embu kaa chini ujitathimini mwenyewe.Pamoja nakujitunza kote ulimshirikisha MUNGU ktk kufanya maamuzi ya kuwa na uhusiano.?? Hii ni kwa sbb sexual rship km hujaolewa au kuoa is SIN tayari ushakua mbali na Mungu so unakua umejiweka ktk mikono ya Ibilisi na kazi zake ni kuharibu tu.Sasa usimlaumu Mungu kwa sbb hukumshirikisha ktk maamuzi.
Lkn Our God is God of second chance.Anasamehe tunaposamehe wengine.Msamehe uliekua na mahusiano nae.Then Piga goti Mwombe Mungu akusamehe.Hakuna asiloliweza hata HIV ni jambo dogo kwake.Samehe na jitahidi uenende ktk njia sahihi.Utamwona Mungu akitenda maajabu yake kwak😵ur God is Mercyful.Usijilinganishe na wengine kwa sbb Mungu alikuumba tofauti na anajua ni kwa nn akupe jaribu hilo maana anajua mlango atakaokupa wa kutokea.Trust on Him.
Jaribu lisikufanye uukimbie uso wa Mungu bali umkimbilie Mungu yy ndo atakuondolea hayo ukawe shuhuda kwa wengine.Amen
 
God is an imagination of a flawed ignorant sexist man.

If god was fair, there wouldn't be god.
 

Mungu yupo fair kuliko unavyowaza na kufikiri. Tunakosea sana tunapofanya mambo yetu bila kumshirikisha then

yanapoharibika tunaanza kuuliza ..... Where were you God?

Mungu yupo kwa ajili ya kutusaidia, kutuongoza, kutubariki, kutulinda, kutuwezesha, kutufanikisha...... you name it all.
 

Kuoa kurumbembe!!

Mungu kakupa AKILI ili ujiepushe na yote hayo.
 
Whatever the situation God is fair. Let them chop off my head but my soul will sing him praise.
 

This is neither here nor there.
 
Last edited by a moderator:
I hope he do....ulishawahi kujiuliza maswali kama..what is the source of the universe?who created man?na maswali mengine ambayo scientists wameshindwa kujibu?

Nishajiuliza tangu mdogo, and the god theory does notbhold wate that.

Why should the source of the universe be god and only god?

Why should man be created at all?

Why should the unanswered questions be assumed to have an answer in a godhead?

Just because you do2 know the square root of two off rhe rop of your head, that does not mean it is eight.
 
Even with the free breath He gave you, you still go ahead and question His fairness.

Do you not see how Good the Lord has been in our lives?

Will you allow some mishaps to lead your thoughts astray??
 
So what is your base? Science which to some extent it has failed to give answers.....

The fact that our knowledge of science cannot give all answer does not mean science does not have answers and god is the answer.

The fact that my knowledge of mathematics does not give me the answer to the square root of two does not mean mathematics does not have that answer and the answer is an undefined singularity.

What is important than whether science has all the answers today is the methodical and open to review convergence it provides. A religious belief in a godhead does not give you that room for review.

I am not sure how much of this can be immediately clear if you have not done the requisite homework, and even if you have there is always the pitfall of cognitive dissonance, or sheer intellectual laziness.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…