Is God Evil? ( Je Mungu ni Muovu?)

ni kama unatumia akili yako kumpangia afanye kitu fulani ili uridhike na kumuamini ndipo uje kuanzisha uzi

kwanini unaiamini akili Yako kuliko source yake ?
 
Kama nakuelewa vile.

secretarybird

Veteran Sailor
 
Mkuu,ninaujutia sana muda wangu nilioupoteza nikifuata ujinga wa Dini.
Usijute mkuu. Binafsi huwa naenda kanisani na msikitini kwa malengo tofauti na watu wengine. Kwa mfano mke wangu nilimpatia kwenye nyumba ya ibada.

Kikubwa na cha kujivunia ni kuwa umeshautambua ukweli.
 
Kwa maoni yako ya sasa unadhani kwanini tupo duniani na je tumeumbwa ama tumetokea kwa bahati mbaya?
Mbona unarukia swali la mbele kabla ya kujibu langu la kwanza??

Huoni kama swali langu tayari linaonyesha kukubali uwepo wa huyo unayeamini kuwa ndio chanzo cha viumbe vyote ulimwenguni(Mungu)??
Swali langu ni Mungu yupi unayemzungumzia maana naona wanatajwa Wengi??
 
Mungu alieumba vitu vyote..
 
Hujatulipia wewe ada
 
Asante mkuu kwa majibu mazuri na yenye kutia matumaini but swali, Mungu hawezi kudhihirisha ukuu wake kwa njia nyingine bila kuhusisha uovu?
Mungu anaweza kudhihirisha ukuu wake kwa njia nyingi nzuri na za amani kabisa bila kuhusisha uovu wowote. Kulingana na maandiko ya kidini na mtazamo wa kitheolojia, uwepo wa uovu si sharti la Mungu kuonyesha nguvu zake, bali uovu unatokana na uhuru wa kuchagua aliopewa mwanadamu au uharibifu wa ulimwengu.
 
Angekuwa anaonekana live tungemuuliza kama ni kweli au lah

Anyway haya mambo ni kuchosha akili yako tu na hakuna majibu utapata
 
Mungu ni Muovu au sio Muovu? Kwa maoni yako...
hivi unajua ubongo unatengeneza picha na story for the best of its knowledge


kuna sauti niki play hapa kuna watu wataisikia namna fulani na kila kundi watakua na uhakikka 100%.

wengine wataisikia tofauti watakua na uhakika 100%.



unajua brain is very deceiptive ?


ni vigumu sana sana kwa nyie majamaa mnaotumia ubongo huu huu ku describe "Mungu" interesting !!!

huu ubongo ni very very simple.
 
Mungu ni Muovu au sio muovu? Kwa maoni yako.
 
Angekuwa anaonekana live tungemuuliza kama ni kweli au lah

Anyway haya mambo ni kuchosha akili yako tu na hakuna majibu utapata
Majibu yako lakini kama yapo wazi vile.. Umeshakiri kwamba ni muovu
 
Hizi nondo zote mkuu ni Unamkomoa Mungu au 🀣
Unamuonew bure Mungu wa watu.
 
I cut straight to the core of institutional critique, looking at religion through the lens of political economy, Religion is a tool that keeps people passive while others build empires on their backs.

Hakuna Mungu wala dini halali, stuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…