Is Democracy the Killer of Liberty? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is Democracy the Killer of Liberty?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, May 8, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nimekutana na hii article naomba wadau tuijadili specifically katika mazingira yetu ya Tanzania

  Je tukichukila mfano wa nchi yetu tanzania kuna ukweli na hoja ya msingi kwenye uchambuzi wa huyu mtaalam?

  Binafsi naona kuna kweli sababu najiuliza kwa nini bunge halina mkulima wa pamba, kahawa etc


  nawasilisha
   
Loading...