Habari wapambanaji, mimi nimesoma bachelor ya Economics. katika harakati za kujiongeza katika kutafuta riziki, nataka nitafute CPA au ACCA. Kwa kifupi nina ndoto ya kufanya kazi kwenye mashirika ambayo mshahara unaanzia 2M and above.
Lakini kuna mdau kaniambia kuwa CPA(T) ilikuwa zamani siyo sasa hivi na kwamba kuna watu kibao wana CPA Hawana ajira, Labda ACCA Ya UK.
Sasa wazoefu na wenye hii CPA Hii imekaa vp? Ushauri wenu please?