Is cpa (t) still worthfull for job upgrading?

Gooodwin

Member
Sep 22, 2016
77
66
Habari wapambanaji, mimi nimesoma bachelor ya Economics. katika harakati za kujiongeza katika kutafuta riziki, nataka nitafute CPA au ACCA. Kwa kifupi nina ndoto ya kufanya kazi kwenye mashirika ambayo mshahara unaanzia 2M and above.

Lakini kuna mdau kaniambia kuwa CPA(T) ilikuwa zamani siyo sasa hivi na kwamba kuna watu kibao wana CPA Hawana ajira, Labda ACCA Ya UK.

Sasa wazoefu na wenye hii CPA Hii imekaa vp? Ushauri wenu please?
 
Aisee mimi si mhasibu, ila kwa ninachokiona na nilichokuona, CPA alone haikufanyi kuwa good accountant. Ukitaka kuwa good accountant ni lazima ufanye jitihada zaidi nje ya CPA. Mfano, unadhani muhasibu wa ACACIA/Barrick ni CPA/ACCA tuu ndo imempa kazi.?

Ila it worth kuwa nayo, kwa maana bila hiyo kwa TZ huwezi tambuliwa kama muhasibu. Lakini ukishaipata, yakupasa ujinoe zaidi ili kuwa the finest. Na kujinoa huko mara nyingi hupatikana katika mentorship, hapa utapata tricks ambazo darasani hukuwahi kuzipata, ila knowlede ya darasa itakusaidia vyema kuzielewa kirahisi.
 
Huyo mdau ulomuuliza hata ungemwuliza hiyo bachelor ulosoma angesema hivyo hivyo kuwa wapo mtaani. Cha msingi kama una chance ya kusoma, soma, Uta add value.
NB: hujachelewa review, hudhuria upige pepa Nov.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
SHUKRANI KAMANDA.
 
Nashukuru mkuu, l must sit in November.
 
Mhasibu bila CPA si mhasibu....ili uwe mhasibu unatakiwa uwe na cpa....hizo habari za mtaani achana nazo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habari wapambanaji, mimi nimesoma bachelor ya Economics. katika harakati za kujiongeza katika kutafuta riziki, nataka nitafute CPA au ACCA. Kwa kifupi nina ndoto ya kufanya kazi kwenye mashirika ambayo mshahara unaanzia 2M and above.

Lakini kuna mdau kaniambia kuwa CPA(T) ilikuwa zamani siyo sasa hivi na kwamba kuna watu kibao wana CPA Hawana ajira, Labda ACCA Ya UK.

Sasa wazoefu na wenye hii CPA Hii imekaa vp? Ushauri wenu please?

Dah Mkuu sasa ' Kichwa chako cha Habari ' yako ni cha ' Kidhungu ' huoni kama kitawatisha wakimbia ' umande ' wenzangu kuchangia? Halafu unajua nilikuwa najua hujui kabisa ' Kiswahili ' ila nilivyoufungua tu ' uzi ' wenyewe nimegundua kuwa Wewe ni ' Mswahili ' mwenzetu wa Kindakindaki.
 
kama uwezo unao.. badala ya kusoma cpa soma acca kwanza...

ila kama mtoto wa mkulima soma cpa tu... itakusogeza japo kupata kazi nzuri ni uwezo wako mkuu wa kujieleza pia
 
Mimi nimesoma uasibu CPA watu wanaitafuta tu kwa mazoea ili wawe nayo kwangu mimi sioni kipya zaidi ya kukaririshwa na kupewa maswali na majibu tu..ukiotea ,maswal CPA hii apa
 
kama uwezo unao.. badala ya kusoma cpa soma acca kwanza...

ila kama mtoto wa mkulima soma cpa tu... itakusogeza japo kupata kazi nzuri ni uwezo wako mkuu wa kujieleza pia

Thanks boss. hii ni kama investment, hata kwa kukopa benki nitasoma boss.
 
Dah Mkuu sasa ' Kichwa chako cha Habari ' yako ni cha ' Kidhungu ' huoni kama kitawatisha wakimbia ' umande ' wenzangu kuchangia? Halafu unajua nilikuwa najua hujui kabisa ' Kiswahili ' ila nilivyoufungua tu ' uzi ' wenyewe nimegundua kuwa Wewe ni ' Mswahili ' mwenzetu wa Kindakindaki.
Aliye kimbia umande hana cha kuchangia hapa. Atapiga porojo tu.

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom