Mama mae! Botha kapigwa kono moja la kulia zito, chali...
Mchezo gani huu, hauna hata kutegeme, ndio maana mie nikaukimbia[emoji13][emoji23]🤣.
Kiukweli mie nilikuwa mpenzi haswa wa tyson, ukija kwenye timing zake ana mikono mfululu, combination zake migumi mizito.