Iron Dome ya Israel vs S-300 ya Iran

Iron Dome ya Israel vs S-300 ya Iran

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Mada kama inavyoeleweka naomba tujadili ni, mfumo upi bora kati ya iron dome na s-300

Je, Iran baada ya kupata s-300 mfumo huu unaweza kukinga ndege za Israel za f-16 zisipige Iran?

Karibuni sana tueleweshane juu ya hili
Ahsanteni
 
mada kama inavyoeleweka naomba tujadili ni.mfumo upi bora kati ya iron dome na s-300

jee iran baada ya kupata s-300 mfumo huu unaweza kukinga ndege za israel za f-16 zisipige iran?

karibuni sana tueleweshane juu ya hili
ahsanteni
izo F-16 zilishawahi kutumika kwenye mission wapi zikafail?...alafu tutuwezaje kufanya comparizon na kitu ambacho hatujawahi kukiona kikifanya kazi vitani?..s-300?
 
Iron dome imetengenezwa kwa purpose ya ku-intercept short Range target kwa ubali usiozidi kilomita 70 ku-intercept vitu kama Artillery shells,katyasha rockets na missle ndogodogo lakini ukicheck S-300 ni zaidi ya hapo kwa upande wa range, pia ina uwezo zaidi achana ku -intercept pia ku-Attack
 
S-300 ni defensive
 
Mada kama inavyoeleweka naomba tujadili ni, mfumo upi bora kati ya iron dome na s-300

Je, Iran baada ya kupata s-300 mfumo huu unaweza kukinga ndege za Israel za f-16 zisipige Iran?

Karibuni sana tueleweshane juu ya hili
Ahsanteni
inaweza kupiga ingawa f-16 na f15 za israel wenyew IDF wameziequip na additional capabilities kuzisaidia pale zinpo encounter advanced air defense mfano kwe ile operation ochard israel walitumia F-16 NA F-15 japokua waliimbia kwe anga iliokua protected sana..kiujumla S 300 ni hatari kwa aicraft ambazo c stealth au zile ambazo hazina low observable capability,kwa iron dome c sahihi kuifananisha na S300,Coz s300 kwanza ina radar nying ambazo zko designed kudetect na kudestroy aircraft cruise missiles na ballistic missiles wakati IRON DOME NI KWA AJILI ya rockets na pia ina short range km 70km hivi,anti balistic capability za S300 inabidi kufananishwa na za ARROWS SYSTEM kwa upande wa israel c irom dome
 
Duh....how can we compare S-300,S-400 and now S-500 with Iron dome? Iron Dome is designed to intercept short range rockets while S-300 is designed to intercept ballistic missiles, cruise missiles, bombers which flies at high attitude like B52 and also fighter jets and also low observable sattelite..S-300
 
😀😀 S-300 ni balaa aise, hicho ki iron dome cha izlael kina uwezo wa kuzuia rockets from Gaza only.ni sawa sawa na Lion ♢ mbwa koko uwalinganishe yupi mwenye uwezo wa kukamata nyumbu
 
WaTz tupo vizuri kuelezea teknolojia nzito nzito, ila sisi na maprofesa wetu tunafeli kutumia teknolojia hizo kutengeneza silaha zetu pamoja na digree program kali kali zitolewazo na vyuo vyetu. Huko Ghaza vijana wanatumia elimu yao kujitahidi kutengeneza silaha zao wenyewe. Utashangaa huyo kamanda mkuu wa Hamas Mohammed Deif yeye ana Bachelor degree in Science (Physics, Chemistry and Biology). Lakini ufanisi ktk kutumia elimu yake kutatua changamoto za kiusalama, kivita n.k ni wa ajabu.
 
Iron dome imetengenezwa kwa purpose ya ku-intercept short Range target kwa ubali usiozidi kilomita 70 ku-intercept vitu kama Artillery shells,katyasha rockets na missle ndogodogo lakini ukicheck S-300 ni zaidi ya hapo kwa upande wa range, pia ina uwezo zaidi achana ku -intercept pia ku-Attack

Mkuu theohphilly S-300 ni defensive only.
 
S300 ni shida, betri 3 zinaweza kufunga anga ya afrika mashariki na ndege ya aina yoyote isiweze kuruka
 
WaTz tupo vizuri kuelezea teknolojia nzito nzito, ila sisi na maprofesa wetu tunafeli kutumia teknolojia hizo kutengeneza silaha zetu pamoja na digree program kali kali zitolewazo na vyuo vyetu. Huko Ghaza vijana wanatumia elimu yao kujitahidi kutengeneza silaha zao wenyewe. Utashangaa huyo kamanda mkuu wa Hamas Mohammed Deif yeye ana Bachelor degree in Science (Physics, Chemistry and Biology). Lakini ufanisi ktk kutumia elimu yake kutatua changamoto za kiusalama, kivita n.k ni wa ajabu.
Mkuu tuache Sie wengine tumesogeza madarasa kwa ajili ya sifa tu kitaa Fulani ana digirii,dokta na sifa jf yaani elimu zetu hazina msaada kwetu wala ktk familia zetu tuache tu mkuu
 
Iron dome imetengenezwa kwa purpose ya ku-intercept short Range target kwa ubali usiozidi kilomita 70 ku-intercept vitu kama Artillery shells,katyasha rockets na missle ndogodogo lakini ukicheck S-300 ni zaidi ya hapo kwa upande wa range, pia ina uwezo zaidi achana ku -intercept pia ku-Attack
 
WaTz tupo vizuri kuelezea teknolojia nzito nzito, ila sisi na maprofesa wetu tunafeli kutumia teknolojia hizo kutengeneza silaha zetu pamoja na digree program kali kali zitolewazo na vyuo vyetu. Huko Ghaza vijana wanatumia elimu yao kujitahidi kutengeneza silaha zao wenyewe. Utashangaa huyo kamanda mkuu wa Hamas Mohammed Deif yeye ana Bachelor degree in Science (Physics, Chemistry and Biology). Lakini ufanisi ktk kutumia elimu yake kutatua changamoto za kiusalama, kivita n.k ni wa ajabu.
nipe muda kidogo,nipo naandaa RC defensive system for Tz;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom