IRIS series season 3 na 4 zimetoka?

IRIS series season 3 na 4 zimetoka?

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,532
Reaction score
2,192
Wasalaam wadau,,huku mtaani naona hizi seriez,nashawishika kuzinunua lakini kwa jinsi season 2 ilipoishia sioni kama kutakua na mwendelezo,,na hata nilipojaribu ku-google sikuona habari ya season 3 au 4,,kwa ambao wameshajaribu kuziangalia hebu tupeni kidogo clue nisije inunua then nikawa nimeenda chaka,kwa faida ya wengi humu!
 
zmetoka season 3 na 4 tayari lakn ni kama wanaendelea watu wengne kwa muendelezo ule ule yan pale ilpoishia ndo na story yao wale wawil ikaishia pale alaf season 3 inaanza aftr 3 yrs.... lakn stry bado iko mzuka ile mbayaa hauwezi ukajuta... akina baek san.. mr black na wengne bado wapo
 
imenibidi niazime kwanza kwa jamaa angu mmoja nione kama sio magumashi,,kweli nimeona story inaendelezwa il naona wahusika wengi ni wapya aisee,,ila unaonekana iko poa coz sijaimalizia ila nahisi sitajutia kuinunua Matty96
 
Last edited by a moderator:
ni iris part 2 amabyo ipo season ya kwanza na ya pili na mastaaa waliojirudia ni 3 tu and nayo ni nzur kias, na star mkuuu ni mpya ambaye ni mtoto wa bak san aliyemuuza kim hyun
 
Ngojea niangalie kama mbeya zimefika

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
eban mkuu hii ngoma ya IRIS naitafuta tokea season 1 cjawahi icheki na kila nikijaribu kuipakua mtandaoni inakuwa zengwe jamani.......
 
Mie npo MBeya na ndo nmeinunulia huku huku... ishafika tayari kwahyo
 
ni iris part 2 amabyo ipo season ya kwanza na ya pili na mastaaa waliojirudia ni 3 tu and nayo ni nzur kias, na star mkuuu ni mpya ambaye ni mtoto wa bak san aliyemuuza kim hyun

Naomba unieleweshe kidogo coz hata mimi imenichanganya kidogo,yatatu siielewi kabisa
 
eban mkuu hii ngoma ya IRIS naitafuta tokea season 1 cjawahi icheki na kila nikijaribu kuipakua mtandaoni inakuwa zengwe jamani.......
Wapelekee Buku 5 machinga wa Congo kama upo Dar....hata mimi ya kupakuwa niliona inazingua, nikaenda kuwapa chao....burudaaaaani!
 
ni iris part 2 amabyo ipo season ya kwanza na ya pili na mastaaa waliojirudia ni 3 tu and nayo ni nzur kias, na star mkuuu ni mpya ambaye ni mtoto wa bak san aliyemuuza kim hyun
Part II? Are you talking of Athena au IRIS kama IRIS?
 
Iris ya mwisho ni season 2.Athena nayo ni series nyingine tofauti kabisa!
 
Ukipata IRIS, pata na Athena kabisa....utapenda tu!
mimi nimetizama iris na athena nimeona km story zinafanana vile, ila ni mojawapo ya movies nzuri sana niliokwisha kuzitazama, ngoja nitafute huo muendelezo wa athena kwanza.
 
yah,,...imetoka season 3 na 4 but actors ni tofauti,,...wala si nzuri kama ilivyo 1 na 2:smile-big:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom