Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Wazee wa Mila katika eneo la Kalenga Mkoani Iringa wameeleza matumaini makubwa waliyonayo kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba tayari wamemkubali kuendelea na wadhifa wake baada ya Uchaguzi Mkuu.
Pia, wamewaasa vijana kuweka imani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili waendelee kunufaika na uongozi wake.
Pia, wamewaasa vijana kuweka imani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili waendelee kunufaika na uongozi wake.