Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,679
- 4,381
Dodoma nzima haifikii hata hadhi ya eneo zima la msamvu kwa pale moroMoro vs Udom pekee..moro inakaa
Kwanini mkuu au unazungumzia ubovu wa miundombinu palee
Mtuachie Dodoma yetu kama hamtaki rudini DarCha kushangaza kuna uzi eti watu wana compare Dodoma na Mwanza nilibaki nacheka tu. Mwanza kweli ni ya kulinganisha na huo uchafu hapo
😂😂😂😂achana na mim wewTena wee pazia zako zile na ile rangi ndo fresh hapo Dom [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia[emoji419][emoji419][emoji419]Dodoma pa hovyo sana. Basi tu.
Hata Kwa mfano...Cha kushangaza kuna uzi eti watu wana compare Dodoma na Mwanza nilibaki nacheka tu. Mwanza kweli ni ya kulinganisha na huo uchafu hapo
Huijui Iringa wewe sasa zile nyumba ndio za mifano? [emoji119]Mimi nipo iringa hapa mjini niambie unazungumzia uzuri wa iringa upo au nyumba za kina Asas zile tatu tuu
ArushaUkitoa Jiji la mwanza na jiji la dar yanajulikana ni majiji makubwa in tanzania.
Je kati ya haya yaliyosalia ni jiji lipi kubwa na bora?[emoji1428] Mbeya, Dom, Arusha, Tanga, na bila kuusahau mji wa Iringa japo sio jiji??
ngosha wa mwanza
Kitombile
Arusha usiichanganye hizo takatakaUkitoa Jiji la mwanza na jiji la dar yanajulikana ni majiji makubwa in tanzania.
Je kati ya haya yaliyosalia ni jiji lipi kubwa na bora?[emoji1428] Mbeya, Dom, Arusha, Tanga, na bila kuusahau mji wa Iringa japo sio jiji??
ngosha wa mwanza
Kitombile
Binafsi kwa Tanzania yangu hii naona Jiji bado ni moja tu...( No offence)Ukitoa Jiji la mwanza na jiji la dar yanajulikana ni majiji makubwa in tanzania.
Je kati ya haya yaliyosalia ni jiji lipi kubwa na bora?[emoji1428] Mbeya, Dom, Arusha, Tanga, na bila kuusahau mji wa Iringa japo sio jiji??
ngosha wa mwanza
Kitombile
Tunza akiba ya maneno afu ikifika 2030 uje tena uiseme hii kauli yako.Kiufupi haka kamji kamejengeka vizuri.
Kuna haja ya kupewa jiji sasa!
Ingawa Iringa iko concetraced at center lakini kuna uzuri ambao hauko sehemu nyingine.
Kwanza pale town center hapana vumbi hata moja wamesakafia hadi pembeni aisee nilipita nilishaangaa
Pili inasehemu kubwa ya mji tofauti na Dodoma.
Checki baadhi ya sehemu za Iringa zilizotulia.
View attachment 2274857
Sijui mbeya, Dom, arusha, Tanga hapo hakuna jiji hata moja zote ni manispaa zilizochangamka😂😂😂Ukitoa Jiji la mwanza na jiji la dar yanajulikana ni majiji makubwa in tanzania.
Je kati ya haya yaliyosalia ni jiji lipi kubwa na bora?👉🏽 Mbeya, Dom, Arusha, Tanga, na bila kuusahau mji wa Iringa japo sio jiji??
ngosha wa mwanza
Kitombile