Iringa-meya akanusha kuwaruhusu wamachinga kufanya biashara mashine tatu.

GreenCity

JF-Expert Member
May 28, 2012
5,620
4,265
Wakuu jana nilileta uzi hapa, kuelezea ruhusa ya Meya wa Manispaa ya Iringa kwa wamachinga kuendelea na biashara eneo la mashine tatu.


Lakini nimeshtuka leo kumsikia radio Ibony Fm akidai vijana hao walimwelewa vibaya au wameamua kupotosha ukweli kwa makusudi. Na badala yake amesema watakaa tena tar 28 kujadili maombi yao.


Chanzo: Radio Ibony Fm

My take: nahisi kuna order za kisiasa from somewhere.
 
Kama mashine tatu hapafai, basi wawapeleke uwanja wa mwembetogwa!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Yan kiukwel kuna haja ya kuwa na viongozi wabunifu,ni kwamba hata wakiwapeleka mwembetogwa bado ni eneo ambalo yan cjui kama patatosha..thatz why mim nasapot sana sera ya CDM kwamb Meya awe anachaguliwa na wapigakura wa jimbo zima,itasaidia kupata mameya,ambaye atawajibika kwa wapigakura wake, kuliko sasa ambapo anachaguliwa na madiwan wenzake..
 
Back
Top Bottom