IRINGA: Mbunge Peter Msigwa akamatwa na Polisi baada ya kumaliza mkutano wa hadhara

Mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mch. Peter Msigwa amekamatwa na polisi jimboni Iringa mjini alipokuwa katika mkutano wa hadhara jioni hii.... Sababu za kukamatwa kwake bado hazijajulikana

Tutaendelea kuwaletea kinachoendelea....
=========

========
Vita ya Uchumi
Matokeo chanyA+ Radio

=======

"Mchungaji Msigwa amekamatwa na polisi katika mkutano wa hadhara bado anahojiwa, viongozi wamezuiwa kumuona"- Dady Igogo Naibu, Meya Iringa
a7cded25be426da82c3e20484e9d241a.jpg

Amekamatwa baada ya kuiba zaka na sadaka
 
Unadiriki kumlinganisha Msukuna na Msigwa!! ni sawa na kumlinganisha mvuta bangi au kichaa na mtu mwenye akili timamu
Zito kabwe kamaliza tayari, Nchi sasa inaongozwa na washamba wawili toka kolomije na Chato mmoja ana phd feki na mwingine hana vyeti na sasa anaitwa Maliyamungu Bashite
 
Safi sana na alale Lupango, tangu alivyoidhalilisha nchi yangu kwenye TV za Kenya nimemchukia sana huyu Msigwa!
Mnashindwa kuwakamata wahalifu wenye silaha mnakamata wapinzani.
Awamu ya 5 wahalifu wanatesa sana maana polisi kazi yao kufukuzana na wapinzani.
Kama wewe ni jambazi usipo tajirika hii awamu ya 5 hutajiriki tena maana hii ndiyo awamu yenu. Magereza yatajaa wapinzani tu. Hii ndiyo sera yao.
 
Angetangulia ahera mboe aliemuua chachawangwe we unafikiri dua lakukulinampataga mwewe?ndomana yesu alisema ambae hajazin ampige mawe huyu kahaba yesu akainama chin akawa anachora alipinyanyua kichwa hakuona mtu hata mmoja bali niyule kahaba nayeye,
 
Hii nchi ilipofikia sasa inahitaji ukombozi.

Nasema tena tunahitaji ukombozi kutoka kwenye huu udhalimu kwa njia yoyote ile.
 
Angetangulia ahera mboe aliemuua chachawangwe we unafikiri dua lakukulinampataga mwewe?ndomana yesu alisema ambae hajazin ampige mawe huyu kahaba yesu akainama chin akawa anachora alipinyanyua kichwa hakuona mtu hata mmoja bali niyule kahaba nayeye,
Rudia kusoma ulichoandika
 
Angetangulia ahera mboe aliemuua chachawangwe we unafikiri dua lakukulinampataga mwewe?ndomana yesu alisema ambae hajazin ampige mawe huyu kahaba yesu akainama chin akawa anachora alipinyanyua kichwa hakuona mtu hata mmoja bali niyule kahaba nayeye,
Kuandika kunashinda utaweza kufikiri?
 
Nnavyojua huko Gaza na Somalia polisi huwa hawakatizi mitaa bila vifaru na magari ya delaya, ni Tanzania tu ambapo polisi anamaliza kukusurubu akiwa kwenye kikosi na kisha kumuona uraiani free anakula bia na kiti moto bila bugudha!
Nakuhakikishia hiyo hali karibu inapotea. Kutakuja kuwa na zone ambazo makundi fulani ya watu wajionao ni grade A citizen hawatakaa wakanyage. Na kwa vile ndugu zao wako huko hata misiba yao hawatahudhuria sio kwa sababu hawawapendi ndugu zao, bali kwa sababu hawana hakika kama wakienda huku watarudi salama maskani kwao.
Kwa wanaojua siasa za South Africa before 1994 wamenielewa. Sasa wewe mere coplo au hata Inspector wa polisi ukifikia mahali unashindwa kwenda mtaani kumzika shangazi yako aliyekusomesha kwa kuuza vitumbua ndio utajua kuwa tuliposema dikteta uchwara anajenga tabia ya utengano tulimaanisha nini.
 
Meza dawa acha kutema unafikiri watu humu wanaendeshwa huniwekei vocha wala sim hujui nimeipataje hivo hata ninachpost hunipangii
 
[HASHTAG]#Denisdenny[/HASHTAG],
Asante kwa kunitusi.

Mkuu, Nina hela/ pesa ya kuwalisha na kuwavisha ukoo wako kwa miaka 30 kwa aina yoyote ile ya chakula mtakachopenda kula na mavazi ninyi wote.

Na pia, Mimi siyo mwanasiasa (ccm, UKAWA au CDM).

Kitu ambacho sipendi ni hiyo tabia ya watu kutukana nchi yetu kwa mgongo wa siasa.

Binafsi, nafanya kazi takribani dunia nzima ila siwezi nikaitukana serikali au nchi yangu.
Na sifanyi kazi seriklini.

Alichokifanya Mr. Msigwa ni jambo la kisaliti, kihaini na kudharau nchi yake hivyo, mtu wa hivyo, hastahili hata kuishi.

Any way, ndiyo akili za upinzani hawaelewi jambo la kisiasa na amani ya nchi yetu.
Wewe usiejielewa labda unapesa za ndotoni mwenye pesa huwa hana wivu,kinyongo na mtu mwingine pale anapotoa mawazo huru,duniani gani ambayo wewe umezunguka? Muda mwingine mkiona mada zimewazidi kimo ni bora ukakaa kimya usome vitabu
 
Back
Top Bottom