Iringa: Ajinyonga kisa ugumu wa maisha

Iringa: Ajinyonga kisa ugumu wa maisha

Aisee mkuu! Wewe unayaelewa maisha [emoji119]
Nina hakika feelings za kujinyonga zinawakumba vijana wengi sema ishu kama za mila na dini zinawafanya waachane na mawazo hayo .

Ukweli kama sio ishu za mila na dini watu wamekuwa wanajimaliza mapema sana.
 
Miaka kadhaa nyuma nilikua naongea na Jamaa angu,Kuna kauli aliongea nilijikuta napata mstuko

Alisema "zamani nikiwa mdogo nikisikia mtu kanyinyonga nilikua namuona mjinga saana kumbe nilikuwa nafikiri tofauti"
 
Umri kama huo wake na mimi nusu nijinyongege kwa ugumu wa maisha, umri wa 20 mpaka 30 sio umri mzuri kiutafutaji kwa sisi vijana wa kimaskini ambao wazazi hawakuandaa maisha yetu ya baadae, ni umri wa mapito makali sana.
Kama hujishughilishi lazima mambo yawe magumu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom