Angelina Jolie wa Bongo' Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakulia.
Akiongea hivi karibuni, Irene ambaye mara nyingi ni mchoyo wa kuyaanika maisha yake ya kimapenzi alisema; "Sipendi watu wajue kuhusu maisha yangu nje ya sanaa. Kwa kifupi sijaolewa ila sitafuti mpenzi kwani nina mtu ambaye tuko siriasi zaidi.
"Naishi naye, nampikia na kumpakulia ila ndoa bado, nadhani kilichobaki ni hicho kufunga pingu za maisha."
'Irene Paul' akipozi.
Hapo katoa ujumbe tuu hajakataza kasema ana mtu na mtu mwenyewe hana contract naye.Yule aliekuwa anasema anampenda irene paul nadhani majibu kapata
Yule aliekuwa anasema anampenda irene paul nadhani majibu kapata
Hapo katoa ujumbe tuu hajakataza kasema ana mtu na mtu mwenyewe hana contract naye.
nimepata ingawa nitampenda hivyo hivyo ndugu
nimepata ingawa nitampenda hivyo hivyo ndugu
Teh teh ahamie kwa Wolper au Lulu
Lulu nasikia ana gubu huyo ukimuuzi anakirudishia vitu vyako vyote na simu anapasua, nasikia anapenda sana ku control wanaume wawe chini yak, ndo maana hadumu na ma men, lulu hatomuweza, wolper msagaji mkubwa