Irene Kisaka harakisha mpeleke Esther Bulaya mahakamani kwa kukudhalilisha!

Hapa munamponda bure yule mwanamama,kwenye publicity nikama ametumbuliwa lakini wenyewe na jiwe wanajua linaloendelea,mama bado anamaisha yake na anaweza hata kula ubalozi huko Canada.Mana wajuaje kama anayohukumiwa nayo yaliandaliwa na kupikwa na aliye mtumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka ulimtishia Esther Bulaya kumburuza mahakamani endapo hatakuomba radhi baada ya kukuumbua kwa kuongea mbele ya waandishi wa habari kuhusu kikokoto cha 25% ya mafao ya wastaafu!

Binafsi ningependa kui-enjoy cross examination itakayojitokeza hapo mahakamani!

Go! Irene! Go! Tupate burudani!
Isaka alipanga kuzunguka nchi nzima kutoa ufafanuzi wa utamu wa kikokotoo cha 25%.Aanze hiyo ziara mara moja
 
Nakumbuka ulimtishia Esther Bulaya kumburuza mahakamani endapo hatakuomba radhi baada ya kukuumbua kwa kuongea mbele ya waandishi wa habari kuhusu kikokoto cha 25% ya mafao ya wastaafu!

Binafsi ningependa kui-enjoy cross examination itakayojitokeza hapo mahakamani!

Go! Irene! Go! Tupate burudani!
Ampeleke JPM maana ndiye alimdhalilisha zaidi
 
Sheria haiwezi kupelekwa bungeni bila rais na waziri kujua. Acheni kumwonea binti wa watu.
Kilichopitishwa bungeni ni sheria.Kikokotoo ni kanini ambayo hutungwa na watendaji wa wizara husika.Kama utakumbuka michange ya marehemu Kasuku Bilago Bungeni alitaka kikokkotoo pia kipitishwe na bunge ili kuepusha hila za hawa akina Isaka.
 
kujiamini kuliko kiasi, kejeli , dharau na majivuno vilimponza. akae kimya tu sasa na rais asihusishwe na maamuzi ya huyu dada ya kukurupuka
Huyo Rais wako ndiye aliyemtuma Irene usituzuge hapa. Jiwe alijua kila kinachoendelea na hatumwachi hata ajikoshe kwa Omo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa rais Irene Isaka ni mtu mdooogo sana. Amini amini nawaaambia Easter Bulaya is 'senior' to her.
Magufuli ka kawapa ari wafanyakazi kwa kumfyekelea mbali huyo aliyekuwa 'kigogo' wa kudumu SSRA. Happy no Year.
Hata uwe mzuri vipi, umesoma vipi. Ukiwa na majivuno...... Pause...
Baada ya yeye kuunda tatizo na kulitatua aisee bongo sujui lini mtapataga akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kuna aliyemuoa kazi anayo! maana libabe mbaya! eti petha dhenu munanywea pombe na kuongedha wanawake halafu munakufa haraka


astakafululah
No way! I can’t believe aliongea hayo maneno! Ama alimchukulia rais serious aliposema yeye ni kichaa?

Maana alichokisema ni ukichaa kabisa!

Afadhali kafyekelewa mbali!
 
Back
Top Bottom