Wakuu kuna jamaa kanipigia cm,amenambia.. "umechaguliwa kujiunga na chuo cha mipango dodoma upo tayar kuja dodoma",nlikua nauliza iv kuna chalii yoyote humu ameomba ik chuo na ameshapigiwa cm?....au yule alienipigia mm ni muhuni tu....coz nimeingia kwenye web hakunaga cha majina wala majino!!!!
Kinacho nshangaza lkn ni kwamba no zng kazipata wap?....then hajanipigia mm tu ...tupo km watutu zenj uku tumeomba kile chuo.. nimewauliza wale jamaa zng...wamenijib nawao wameshapigiwa cm
Kinacho nshangaza lkn ni kwamba no zng kazipata wap?....then hajanipigia mm tu ...tupo km watutu zenj uku tumeomba kile chuo.. nimewauliza wale jamaa zng...wamenijib nawao wameshapigiwa cm