Jordi alfred
Member
- Oct 24, 2019
- 20
- 5
Hi watu wa jf
Mim nnasoma chuo Cha mipango mwaka wa kwanza dodoma irdp sasa nataka kujua kuhusu ajira jeh Kuna uwezekano wa ajira au ndo kufanya kaz nyingne
Sio demanded kabisa mkuu sasa hivi tunataka madaktari, manesi, walimu wa sayansi na English, architects, land surveyors, valuers, wafamasia, mainjinia, wataalam wa maabara, wadaktari wa mifugo, madaktari wa meno,wataalam wa wanyama pori ! Nyie watu mliosoma Kozi za biashara,uchumi, social sciences hamna ajira kabisa.Inamaana kozi nyingi za mipango sio demanded in public?
Ina maana wote wanaoajiriwa wana GPA kubwa tena first...?ajira zipo ila chache either you are among the best au una connections.
kama huna connection dogo akushauri upige shule kweli kweli nikisema upige shule namaanisha upige hata gpa ya kwanzia 4.4 hapo ajira unaweza kupata
tofauti na hapo kama shule huwez kukomaa sana anza biashara polepole ukiwa unasoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi watu wa jf
Mim nnasoma chuo Cha mipango mwaka wa kwanza dodoma irdp sasa nataka kujua kuhusu ajira jeh Kuna uwezekano wa ajira au ndo kufanya kaz nyingne
mwambie ukweli ajira nyingi ni za kujuana na ufauru igezo cha mwisho na ajira zenyewe chache, huwa unaona vijana wanvyojazana kuke DUCE?Ina maana wote wanaoajiriwa wana GPA kubwa tena first...?
Acha uongo mkuu na kukatishana tamaa
Hahaha mkuu mbona unadanganya watuSio demanded kabisa mkuu sasa hivi tunataka madaktari, manesi, walimu wa sayansi na English, architects, land surveyors, valuers, wafamasia, mainjinia, wataalam wa maabara, wadaktari wa mifugo, madaktari wa meno,wataalam wa wanyama pori ! Nyie watu mliosoma Kozi za biashara,uchumi, social sciences hamna ajira kabisa.
Huo ndiyo ukweli 'mrembo ' kozi za biashara ,social sciences hazina dili siku hizi
Madaktari manesi wataalamu wa maabara wapo wengi mtaani hamna ajira. Tatizo sio cozi ni connection tuHuo ndiyo ukweli 'mrembo ' kozi za biashara ,social sciences hazina dili siku hizi
Iko hivi tatizo la ajira kwa ujumla ni kubwa sana kwa kozi za biashara na Social sciences ,ni Kwa sababu 'community ' Kwa sasa inahitaji fani za Afya Kwa uwingi, ikifuatiwa na Uhandisi, Tiba ya mifugo, nk fani za Uhasibu hawa ni wengi sana na uhitaji wa soko Kwa sasa wanataka CPA (T), sheria ni wengi sana Kwa sasa unatakiwa angalau uwe 'Advocate 'ndiyo pengine labda utatoboa, japo pia mahitaji ni madogo mno, ukija Kwa fani nyingine za social sciences uhitaji ni mdogo, ukilinganisha na madaktari wa mifugo, binadamu, wahandisi,Madaktari manesi wataalamu wa maabara wapo wengi mtaani hamna ajira. Tatizo sio cozi ni connection tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia GPA ndio inakupa ajiraajira zipo ila chache either you are among the best au una connections.
kama huna connection dogo akushauri upige shule kweli kweli nikisema upige shule namaanisha upige hata gpa ya kwanzia 4.4 hapo ajira unaweza kupata
tofauti na hapo kama shule huwez kukomaa sana anza biashara polepole ukiwa unasoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una elimu gani? I mean kiwango chako cha elimu. Ukute nabishana na mtoto wa A-level au mwanachuo. Mnaoishi kwenye dunia ya nadhariaIko hivi tatizo la ajira kwa ujumla ni kubwa sana kwa kozi za biashara na Social sciences ,ni Kwa sababu 'community ' Kwa sasa inahitaji fani za Afya Kwa uwingi, ikifuatiwa na Uhandisi, Tiba ya mifugo, nk fani za Uhasibu hawa ni wengi sana na uhitaji wa soko Kwa sasa wanataka CPA (T), sheria ni wengi sana Kwa sasa unatakiwa angalau uwe 'Advocate 'ndiyo pengine labda utatoboa, japo pia mahitaji ni madogo mno, ukija Kwa fani nyingine za social sciences uhitaji ni mdogo, ukilinganisha na madaktari wa mifugo, binadamu, wahandisi,
Mimi Professional and registered land surveyorWewe una elimu gani? I mean kiwango chako cha elimu. Ukute nabishana na mtoto wa A-level au mwanachuo. Mnaoishi kwenye dunia ya nadharia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa land surveyor maswala ya afya unayajuaje? Usibishe kitu hujui.. mimi nipo kwenye kada ya afya kwahiyo nikikwambia hii fani kwa TZ ipo saturated unielewe.Mimi Professional and registered land surveyor
Ipo saturated ukilinganisha na fani gani?Sasa land surveyor maswala ya afya unayajuaje? Usibishe kitu hujui.. mimi nipo kwenye kada ya afya kwahiyo nikikwambia hii fani kwa TZ ipo saturated unielewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo saturated ukilinganisha na miaka 5-10 iliopita.Ipo saturated ukilinganisha na fani gani?
Nimekuuliza hivi "ukilinganisha na fani gani "? Sijakuuliza miaka au kipindi