Iran's Revolutionary Guards Burn Satellite Dishes...

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,784
2,000
[h=6]Revolutionary Guards in the province of Hormuzgan have been burning confiscated satellite dishes at special parties.
mahvaeh-teh.jpg
[/h] Mohabat News -- Shahrzad News reported, according to the guards' website, "the aim is to show our hatred of satellite dishes and encourage people to reject them and not install them in their homes." While burning the dishes the guards chant 'Death to America' and 'Long live Imam Hussein.', said Shahrzad News in its report. A group of young people in the city of Gohran are reported to have voluntarily dismantled their dishes and joined the guards in their campaign.

satellite-dish.gif
Local guard leader Ali Pahlevani said his office organised these events: "because satellite channels and the internet promote the wearing of western fashions rather than Islamic hejab, thus diverting young people from the path of Imam Hussein, the great Islamic martyr."

Pahlavin said he hoped that similar burning parties would be held in other Iranian cities.

http://www.mohabatnews.com/index.ph...rning-parties&catid=35:inside-iran&Itemid=278
 

adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
12,088
2,000
Ni matumizi mabaya ya akili zao, mbona ndege, na vifaa vingine source ya technology inatoka huko huko.

Huna sababu ya kuchukia tools and equipment ambazo unazitumia kila siku, ni kukosa hekima.
 

Ongeauchoke

Senior Member
Nov 4, 2010
149
170
Kwa nini wasichome maroketi wanayowapelekea wapalestina tena waachane na mpango wa nulear kwa sababu sidhani kama mafundisho ya hussein yanasema hivyo. Huo ni ushabiki wa kutokutumia akili. Tumieni akili nyie waiaran
 

Kifarutz

JF-Expert Member
Aug 7, 2012
1,737
1,500
Kwa nini wasichome maroketi wanayowapelekea wapalestina tena waachane na mpango wa nulear kwa sababu sidhani kama mafundisho ya hussein yanasema hivyo. Huo ni ushabiki wa kutokutumia akili. Tumieni akili nyie waiaran
Hapo kwenye blue umechemka, huo ni mpango wa ulinzi na kukuza uchumi wa nchi..! Tokea Korea Kaskazini amemiliki nuclear umesikia wapi vikwazo vya kinafiki kutoka USA na was.enge wenzake? Siku zote ukitaka Marekani awe na adabu miliki nuclear, wanafyata mkia kama mbwa aliyemuona chatu..!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom