Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,228
hawa jamaa soon wanaenda kuwa unstoppableDefinitely the drone was hacked by Iran expert! This has shocked many Americans specially IT companies like IBM and HP experts and they said that IRANIANS are not so far with our capabilities on spoofing and hacking this advanced drone with stealth technologies that its impossible to track them on RADARS...Last weak ISRAEL has discovered the spy malware that has infected hundred of their program,data etc and the code was written with Persia....we should know that the modern war is all about cyber....
Kumbe wako njema kweny. cyber tangu kitambohawa jamaa soon wanaenda kuwa unstoppable
je hayo ya siri si niatari tupuKu
Kumbe wako njema kweny. cyber tangu kitambo
Na ndio maana wanajiamini sana WaajemiNadhani USA wanawajua vizuri hawa viumbe kwa hayo machache tu ambayo raia tunafunuliwa tunaona jinsi Iran walivyo on fire
je hayo ya siri si niatari tupu
hawa jamaa soon wanaenda kuwa unstoppable
Naona kuongezeka kwa nguvu za Iran na kuwa mbabe wa USA kutaenda kubadili geopolitics ya dunia nzima mfano tayari Venezuela iliyokuwa imepoteza matumaini inaenda kunyanyuka tenaNi kweli, infact tangu Iran alipofanikiwa kulipiza kisasi kifo cha Jenerali wao kwa kushambulia kambi zote za majeshi ya Merikani huko Iraq na kusababisha hasara kubwa kwa makambi pamoja na wanajeshi walio kuwa wamejificha kwenye mahandaki lakini walipata madhala makubwa ikabidi wakimbizwe kwenda kutibiwa huko Ujerumani na USA, tukio hilo liliwapa fundisho kubwa US military top brass, tangu siku hiyo USA wamejifunza kwamba Waajemi si watu wakuchukulia poa hata kidogo.
ndio maana Israel anakomaa Iran wasikite mizizi Syria coz adui mwenye akili atakuwa near to tel AvivNa ndio maana wanajiamini sana Waajemi
nNaona kuongezeka kwa nguvu za Iran na kuwa mbabe wa USA kutaenda kubadili geopolitics ya dunia nzima mfano tayari Venezuela iliyokuwa imepoteza matumaini inaenda kunyanyuka tena
so tutegemee nchi nyingi kuanza kuivimbia USA na hapa naona hasa zile nchi zilizokuwa chini ya mikono ya urusi kipindi cha cold war zikienda kuwa pro Iran
all in all vikwazo vinaenda kuwa useless
huku china anawakimbiza kiuchumi
urusi anawakimbiza kijeshi
huku Korea nae hataki dharau
kichwa ngumu nae JIWE akampuuza pompeo kwenye sanga la makonda [emoji23][emoji23]
facts.....ndio maana Israel anakomaa Iran wasikite mizizi Syria coz adui mwenye akili atakuwa near to tel Aviv
Kumbe 2011 ulikuwa mtoto?Huu uzi sikuuona nilikua bado mtoto
Root
Sexer
Pia nna imani hamukuuona huu[emoji4][emoji4][emoji4]
Nlitaka kumsahau dada ladada Paula Paul[emoji4][emoji4]
Ni matumaini yangu ulichokiandika ni mnataniana!Kumbe 2011 ulikuwa mtoto?
Mimi nilikuwa mkubwa.
Ile drone ili crush na haikuwa kweli kwamba Iran wali hack.
Inamaana haujazoea kwamba drones zikianguka hata kama ni matatizo ya kiufundi makundi ya watafuta sifa wanasema wao ndio wamedungua.?
Ure serious ?!Kumbe 2011 ulikuwa mtoto?
Mimi nilikuwa mkubwa.
Ile drone ili crush na haikuwa kweli kwamba Iran wali hack.
Inamaana haujazoea kwamba drones zikianguka hata kama ni matatizo ya kiufundi makundi ya watafuta sifa wanasema wao ndio wamedungua.?
Paula PaulNi matumaini yangu ulichokiandika ni mnataniana!
Sijui ukweli kuhusu hili. Ila nikiamua kukubishia naweza nikakubishia hadi ukaniamini.
Hiyo ilishushwa taratibu ndo maana wàliifanyia assembling. Ingekuwa imecrush yenyewe lazima ingelipuka tu.Kumbe 2011 ulikuwa mtoto?
Mimi nilikuwa mkubwa.
Ile drone ili crush na haikuwa kweli kwamba Iran wali hack.
Inamaana haujazoea kwamba drones zikianguka hata kama ni matatizo ya kiufundi makundi ya watafuta sifa wanasema wao ndio wamedungua.?
hhhh isnt simple dada kama unavyofikiria ila sawa...Sijui ukweli kuhusu hili. Ila nikiamua kukubishia naweza nikakubishia hadi ukaniamini.
Hiyo ilishushwa taratibu ndo maana wàliifanyia assembling. Ingekuwa imecrush yenyewe lazima ingelipuka tu.
ndio maana Israel anakomaa Iran wasikite mizizi Syria coz adui mwenye akili atakuwa near to tel Aviv