Iranian People Fear a War with Israel

Iranian People Fear a War with Israel

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
The channel spoke with several Iranian citizens who, without revealing their identities, said that there is great tension and fear among Iranians over a possible war with Israel.
367150.jpg

"The Iranians understand their current president says terrible things about Israel," said one Iranian, a resident of Bushehr. "You can be sure that not all Iranians agree with the behavior of their leaders."

The Iranian, who was identified as H., admitted that, contrary to the declarations of Iran's leaders, the West's harsh sanctions against the Islamic Republic have severely hurt innocent civilians. "There are a lot of poor people who need help, they work day and night to survive. Please, do not attack us," he said.

Iranian People Fear a War with Israel - Middle East - News - Israel National News
 
So, Iranian People are scared of ISRAEL!!!! I love it.
 
mtaishia hivyo na propaganda zenu za kujifariji kwani kuna mtu asiyeogopa vita kama watu wa israel wangekua hawaiogopi iran wangekua wameshashambulia tangu mwaka uliyopita hla kutokana na hofu ya matokeo ya vita hyo anapata upinzani kwa viongozi wenzake hadi wananchi wakawaida hawataki vita na iran wataishia kushambulia gaza.
 
Saddam alisema hivi hivi akapigwa mpaka chumbani kwake.....

Ile mijamaa hatari na ni mibabe ya vita enzi na enzi.....
 
Take it easy, Iranians are scared of Israel, it is a fact. Look at the lies of Monkeys, Fake Jets, who do they think they are lying?
 
Kitambo tu IRAN wangekua washachapwa...tatizo OBAMA amekua soft boy sana hapendi purukushani....

ndio maana nakwambia israel anaogopa kuishambulia iran,mbona kuishambulia syria na sudan ameenda mwenyewe hila iran anataka apewe support na us,france,nato na uk anajua akienda mwenyewe nini kitamtokea nyinyi mpeni kichwa apeleke ndege kama alivyopeleka syria na sudan.
 
Hii Habari ni ya Siku Nyingi sana niliisoma mwaka uliopita
 
Saddam alisema hivi hivi akapigwa mpaka chumbani kwake.....

Ile mijamaa hatari na ni mibabe ya vita enzi na enzi.....

Gadafi alitembeza mkwara akiwa kwenye mtaro wa maji machafu......
 
Kelele za JF hazimpi ushindi Israel hata siku moja toka nimejiunga JF nasikia Israel ataishambulia Iran, yani mpaa Iran atatest nuclear bada ya miezi tisa inayo kuja, na Israel atabakia kupiga kelele kama vichaa wa JF na hawata subutu kusogea Iran:biggrin1:
 
ndio maana nakwambia israel anaogopa kuishambulia iran,mbona kuishambulia syria na sudan ameenda mwenyewe hila iran anataka apewe support na us,france,nato na uk anajua akienda mwenyewe nini kitamtokea nyinyi mpeni kichwa apeleke ndege kama alivyopeleka syria na sudan.

Chitanda nyamaza huijui israel wanaoogopa ndio haswaa wanaijua israel.
 
Back
Top Bottom