Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Iran wapo vizuri sana yani pamoja na vikwazo vyote hivi lakini bado wanatengeneza silaha nzuri tu safi sana, bravo Iran
israel yeye mpk apewe tegemez xana hao mahazeir
Iran wapo vizuri sana yani pamoja na vikwazo vyote hivi lakini bado wanatengeneza silaha nzuri tu safi sana, bravo Iran
I can see, kwa Iran kuwa na technology ya kutengeneza drone is unsafe to the entire World. it sound biter kwa Nchi kama Israel, kwani hawa jamaa hawaaminiki hata kidogo. Lakini, kwa nchi kama Tanzania tuna cha kujifunza hapa. wanasayansi wetu(kama wapo) waanze kutengeneza Silaha kwa Matumizi yetu wenyewe. (Jeshi, Polisi na Taasisi nyingine zinazoruhusiwa kutumia silaha kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi) siyo hata SMG tuna-import kutoka china. wanasiasa amkeni, anzeni mkakati wa kuwekeza kwenye military ikiwa ni pamoja na kujenga kiwanda cha silaha. (Ammution factory)
Kwahiyo Wairan ni longalonga tu. Kwanini wasianzishe zali, ili haya maneno ya nani zaidi yaishe?
si bure una mapungufu! acha wivu ww
iran wana teknolojia kuliko hata hao mayahud tegemez