Iranian factory makes U.S. and Israeli flags to burn

Wewe usie na vikwazo umefanya maendeleo gani, wabongolala bana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumenunua ndege nane tena kwa cash, tumejenga Chato International Airport, tunajenga SGR Dar to Moro, tunajenga Stieglar Gorge Dam

Tena tuna mpango kabambe wa kujenga Referral Hospital Chato etc, what else do you want us to do. After all, Iran ni third world tu kama sisi.
 
Kama wewe umenunua hongera ilawenzako wanatengeneza wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo Mkuu; wana kiwanda cha kutengeneza bendera za US, UK, na Israel ili zigawiwe kwa wafuasi wao wazichome hadharani kwenye mihemuko yao! Propaganda za kipumbavu na kizamani sana!
Kuna eneo la mija ya mitaa pale Tehran serikali imechora bendera za Marekani na Israel kwa gharama zao, pakitokea maandamano serikali huwa inawaelejezea waandamanaji kwenda kwenye huo mtaa ili waikanyage michoro ya bendera za nchi hizo.
Katika maandamano ya hapa mwishini wananchi waligoma kuzikanyaga na badala yake wakazizunguka na kuanza kuimba nyimbo za kusifu nchi hizo.
 
Hii habari niliiona BBC wanachuo walikuwa wanapita pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran hawana Aircraft Manufacturing Technology, kabla ya vikwazo walikuwa na mpango wa kununua Boeing tena nyingi tu.
Mapenzi yakizidi uongo hua mwingi.
Wewe kaa tu hapo na uendelee kupiga domo nakuendelea na chuki zako zisokua na maana

Kwani US hawanunui ndege ?! Ama kwasababu hawana uwezo wakutengeneza

UK Hawanunui Ndege Ama Hawana Uwezo Wakutengeneza

FRANCE Hawanunui Ndege Ama Hawana Uwezo Wakutengeneza

Nakujuza Tu Kama Sijakosea Jina la Kampuni HESA Ambayo Ina Deal Na Aircraft Manufacture Ya IRAN Ilianzishwa Mwaka 1976 Kama Hata Kugugo Unashindwa Unakuja Kuongea Chuki Tu Hapa Unategemea nn

IRAN Kweli Iliagiza Mamia Yamandege Ila Kutokana Navikwazo Hawakuzipata Ila IRAN wanamanufacture Wenyewe Ndege Usipende Kukariri Kama Huwez Kuagiza Kitu Unachotengeneza Kunasababu Mbali Mbali Hasa Hasa Zakiuchumi Na Kidiplomasia Zinazokufanya Uagize Vitu Nje Ya Taifa Lako Hatakama Unatengeneza Mwenyewe

Unapo Ona US Anapata Shida Kupambana Na WAAJEMI Unatakiwa Uelewe Anapambana Namoja Yamataifa Ambayo Yamekamilika Sanaaa Nandio Maana Baadhi Yavikwazo Vyake Hua Havifanikiwi Hata Kwa Asilimia 30 Sababu Anaweka Vikwazo Ambavyo Unakuta IRAN Hilo Jambo Anaweza Kulifanya Pia Inaweza Ikawa Ulipinga IRAN Kumanufacture Aircraft Kwasababu Ulikua Huujui Ukweli Ama Unaona Jamaa Hawana Uwezo Huo Ama CHUKI Tu Kwa Waajemi

Unaposikia IRAN Inaongelewa Unatakiwa Uelewe Nakufahamu Kwamba Linaongelewa Taifa Ambalo Linatengeneza Nakuunda Mavitu Ambayo Hata Baadhi Ya Nchi Za Ulaya Haziundi IRAN Inaunda Mpaka Satelite Unakuja Kubisha Kutengeneza NDEGE

US Anatakiwa Achange Sana Karata Zake Kukabialana na WAAJEMI Kivyovyote Vile KISIASA KIJESHI KIUCHUMI

Halafu Nakujuza Tu Hua Siongelei Mahaba Naongelea Uhalisia Wamambo Nnavyo Yafahamu Ama Nlivyoyaona ama Kuyasikia Kwawatu Mbali Mbali Ukiisikia IRAN Isikie Kama Unavyoisikia IRAN Imepiga Hatua Kubwa Mnoo Hasa Kama Utaambiwa Inavikwazo Toka Mwaka 1979

Siku Nyengine Utakapo Ifananisha Nchi Yako Na IRAN Sitajisumbua Kukujibu Maana Utakua Huna sababu Yakujibiwa Umeikosea Sana Heshma IRAN Ukiliongelea Taifa La IRAN Unaliongelea Taifa Lawasomi Sana Ulimwenguni Taifa Ambalo Maana Karibu 95% ya Wairan Wanajua Kusoma Sivijijini wala Wapi Nlitembea Maeneo Maeneo Flan Hapo Nchini Kwako AIBU AIBU AIBU Usipende Kuifananisha IRAN na mambo ya Ajabu Kijana

Halaf Naona Kama Kawaida Shost Yako (Rafiki Yako FRANK WANJIRU)Analike Koment Ya Uongo Kisa Imepingana Na Ukweli Tujifunzeni Tuu Kuukubali Ukweli Hatakama Hatuupendi Ama Unatuumiza Maana Hua Hakuna Namna Sasa.....

Huo Mzigo Hapo MADE IN IRAN Chini Ya HESA
220px-Antonov_(HESA)_An-140-100%2C_HESA_Airlines_AN2221381.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari niliiona BBC wanachuo walikuwa wanapita pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo juu tu umesema kama zinatengenezwa bendera zikanyagwe halafu sasa hv unajitoa ufahamu

Ila nikweli wale walipita pembeni sababu yale maandamano yalikua agains Gov ambayo yalikua na watu kama 50tu hv maana kwa umati unao andamana TEHRAN Kupiga Mauti Kwa ISRAHELL na US Wakizikwepa Hizo Bendera Wakasema Wapite Pembeni Watasababisha Maafa Makubwa Mnoooo Maana Njia Itakua Ndogo Watakayoitumia Wata Angushana Watakanyagana Watafariki

Ila All Is Well

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mahubiri ya leo hayo
Kuna eneo la mija ya mitaa pale Tehran serikali imechora bendera za Marekani na Israel kwa gharama zao, pakitokea maandamano serikali huwa inawaelejezea waandamanaji kwenda kwenye huo mtaa ili waikanyage michoro ya bendera za nchi hizo.
Katika maandamano ya hapa mwishini wananchi waligoma kuzikanyaga na badala yake wakazizunguka na kuanza kuimba nyimbo za kusifu nchi hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna eneo la mija ya mitaa pale Tehran serikali imechora bendera za Marekani na Israel kwa gharama zao, pakitokea maandamano serikali huwa inawaelejezea waandamanaji kwenda kwenye huo mtaa ili waikanyage michoro ya bendera za nchi hizo.
Katika maandamano ya hapa mwishini wananchi waligoma kuzikanyaga na badala yake wakazizunguka na kuanza kuimba nyimbo za kusifu nchi hizo.
Hao watu walokua wanazisifu hizo nchi hata 100 walifika kweli ?!

Maana kwa Umma Unaopiga Mauti Kwa Hizo Nchi Hawawez Kuzikwepa Lazma Wazikanyage

Maana Kama Itatokea Watazikwepa Watakanyagana Mpaka Kuuwana...

Death to US
Death to ISRAHELL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kaa tu hapo na uendelee kupiga domo nakuendelea na chuki zako zisokua na maana

Kwani US hawanunui ndege ?! Ama kwasababu hawana uwezo wakutengeneza

UK Hawanunui Ndege Ama Hawana Uwezo Wakutengeneza

FRANCE Hawanunui Ndege Ama Hawana Uwezo Wakutengeneza

Nakujuza Tu Kama Sijakosea Jina la Kampuni HESA Ambayo Ina Deal Na Aircraft Manufacture Ya IRAN Ilianzishwa Mwaka 1976 Kama Hata Kugugo Unashindwa Unakuja Kuongea Chuki Tu Hapa Unategemea nn

IRAN Kweli Iliagiza Mamia Yamandege Ila Kutokana Navikwazo Hawakuzipata Ila IRAN wanamanufacture Wenyewe Ndege Usipende Kukariri Kama Huwez Kuagiza Kitu Unachotengeneza Kunasababu Mbali Mbali Hasa Hasa Zakiuchumi Na Kidiplomasia Zinazokufanya Uagize Vitu Nje Ya Taifa Lako Hatakama Unatengeneza Mwenyewe

Unapo Ona US Anapata Shida Kupambana Na WAAJEMI Unatakiwa Uelewe Anapambana Namoja Yamataifa Ambayo Yamekamilika Sanaaa Nandio Maana Baadhi Yavikwazo Vyake Hua Havifanikiwi Hata Kwa Asilimia 30 Sababu Anaweka Vikwazo Ambavyo Unakuta IRAN Hilo Jambo Anaweza Kulifanya Pia Inaweza Ikawa Ulipinga IRAN Kumanufacture Aircraft Kwasababu Ulikua Huujui Ukweli Ama Unaona Jamaa Hawana Uwezo Huo Ama CHUKI Tu Kwa Waajemi

Unaposikia IRAN Inaongelewa Unatakiwa Uelewe Nakufahamu Kwamba Linaongelewa Taifa Ambalo Linatengeneza Nakuunda Mavitu Ambayo Hata Baadhi Ya Nchi Za Ulaya Haziundi IRAN Inaunda Mpaka Satelite Unakuja Kubisha Kutengeneza NDEGE

US Anatakiwa Achange Sana Karata Zake Kukabialana na WAAJEMI Kivyovyote Vile KISIASA KIJESHI KIUCHUMI

Halafu Nakujuza Tu Hua Siongelei Mahaba Naongelea Uhalisia Wamambo Nnavyo Yafahamu Ama Nlivyoyaona ama Kuyasikia Kwawatu Mbali Mbali Ukiisikia IRAN Isikie Kama Unavyoisikia IRAN Imepiga Hatua Kubwa Mnoo Hasa Kama Utaambiwa Inavikwazo Toka Mwaka 1979

Siku Nyengine Utakapo Ifananisha Nchi Yako Na IRAN Sitajisumbua Kukujibu Maana Utakua Huna sababu Yakujibiwa Umeikosea Sana Heshma IRAN Ukiliongelea Taifa La IRAN Unaliongelea Taifa Lawasomi Sana Ulimwenguni Taifa Ambalo Maana Karibu 95% ya Wairan Wanajua Kusoma Sivijijini wala Wapi Nlitembea Maeneo Maeneo Flan Hapo Nchini Kwako AIBU AIBU AIBU Usipende Kuifananisha IRAN na mambo ya Ajabu Kijana

Halaf Naona Kama Kawaida Shost Yako (Rafiki Yako FRANK WANJIRU)Analike Koment Ya Uongo Kisa Imepingana Na Ukweli Tujifunzeni Tuu Kuukubali Ukweli Hatakama Hatuupendi Ama Unatuumiza Maana Hua Hakuna Namna Sasa.....

Huo Mzigo Hapo MADE IN IRAN Chini Ya HESAView attachment 1343089

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni mabingwa wa reverse engineering ila wameshindwa ku-upgrade zile ndege za F-15, F-16 ambazo Shah alinunua Marekani.

Iran technology bado sana, huoni wanavyolia waondolewe vikwazo, hiyo ndege utakuta engine na spare parts zingine wametoa Russia, wao wameunda bodi tu.
 
Eti Bado Sana Wewe Kaa Tu Hapo Upige Kelele Ulisema Hawana Manufacture Ya Aircraft Sasa Hv Unaruka Ruka Kama Umemeza Ugali Wamoto

Mwezi Ujao Watarusha Satelite Kusherehekea Mwaka Wa 41 Wamapinduzi Ya Kiislam Nchini IRAN Nyie Ambao Teknolojia Yenu Ipo Juu Endeleeni Kurusha Ungo

IRAN Lazma Atake Aondolewe VIKWAZO Iliapate UHURU Wakufanya Biashara Nakila Taifa Analo Taka

Kuna Tetesi Ambazo Ziko Jamaa Wanataka Kutengeneza Aircraft Carrier Yao Ili Muzidi Kuteseka WAYAHUDI Wabuza

Vikwazo Aloekewa IRAN Haruhusiwi Kununua Injini Kutoka Nje Mnakwamia Wapi Vijana Yaani Hua Nafurahi Sana Kadiri Mnavyoichukia IRAN Ndivyo Inavyozidi Kwenda Mbele

Nakupa Nafaida Hii Chini
-:Bunge La IRAN Linataka Kujadili Muswada Wa IRAN Kujitoa Katika Mkataba Wa NPT (KILA MMOJA ATAIHESHIMU IRAN )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom