MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Hii kitu watu wengi hawajui. Wanadhani kwa sababu Iran ipo Middle East na ni taifa la kiislamu basi ni waarabu. Ila Iran does have an Arab population sema ni wachache.
Hii kitu watu wengi hawajui. Wanadhani kwa sababu Iran ipo Middle East na ni taifa la kiislamu basi ni waarabu. Ila Iran does have an Arab population sema ni wachache.
BREAKING NEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEWZ
Ahmadinejad Kashinda! (msonyo)
BRAVO!!!
Lakini bila shaka nchi za Magharibi (US na EU) hawakupendezewa, hasa kutokana na msimamo wa Ahmadinejad kuhusu suala la nuclear na hivyo nchi hiyo kuwa tishio kwa mteja wao mkubwa wa eneo hilo -- Israel.
Ajabu ni kwamba nchi hizo (US na EU) ni mabubu kuhusu mradi wa nuclear wa Israel uliopo Dimona ktk jangwa la Negev. Katika kituo hicho kilichopo chini ya ardhi kumehifadhiwa mabomu ya nuclear zaidi ya 200 na aliyetoa siri hiyo ulimwenguni ni nuclear technician Myahudi -- aitwaye Mordechai Vanunu -- aliyekuwa akifanya kazi hapo na baadaye katika miaka ya 80 alikimbilia Uingereza na kutoa siri hiyo iliyochapishwa sana kwenye magazeti.
Vanunu aliamatwa Italia na maajenti wa Mossad -- shirika la ujasusi la Israel, akapelekwa Israel, akashitakiwa na kuhukumiwa kufungwa miaka 15 jela -- kwa kutoa siri hiyo. Alimaliza kifungo chake miaka minne iliyopita.
Marekani na Israel inaibana sana Iran kuhusu mradi wake wa nuclear huku zikiwa kimya kuhusu ule wa Israel -- undumila kuwili ambao Dume Ahmadinejad amadhamiria kuupambana nao. Na anapambana nao!
Hongera Ahmedinajad.
But what is the difference?