Richard irakunda JF-Expert Member Joined Oct 23, 2018 Posts 3,659 Reaction score 4,387 Jan 14, 2019 #101 Proved said: Huenda walikamilisha kilichowapeleka wakarudi kwao. Click to expand... itakuwa hivyo lkn si unajua isreal kawauwa sana hapo syria Sent using Jamii Forums mobile app
Proved said: Huenda walikamilisha kilichowapeleka wakarudi kwao. Click to expand... itakuwa hivyo lkn si unajua isreal kawauwa sana hapo syria Sent using Jamii Forums mobile app
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,957 Jan 14, 2019 #102 GreatSeal said: Hao hamna kitu mkuu...hata wazee wetu wakuvunja matofali kwa kichwa wanawamudu vizuri sana tuu Click to expand... Unafikiri wala dagaa hao!
GreatSeal said: Hao hamna kitu mkuu...hata wazee wetu wakuvunja matofali kwa kichwa wanawamudu vizuri sana tuu Click to expand... Unafikiri wala dagaa hao!
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 36,879 Reaction score 49,325 Jan 14, 2019 #103 Richard irakunda said: itakuwa hivyo lkn si unajua isreal kawauwa sana hapo syria Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni kweli wamehujumiwa sana! Ila kwani wanakaa ndani ya kambi moja na wapiganaji wa Hizboullah wakiwa huko Syria?
Richard irakunda said: itakuwa hivyo lkn si unajua isreal kawauwa sana hapo syria Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni kweli wamehujumiwa sana! Ila kwani wanakaa ndani ya kambi moja na wapiganaji wa Hizboullah wakiwa huko Syria?
Richard irakunda JF-Expert Member Joined Oct 23, 2018 Posts 3,659 Reaction score 4,387 Jan 15, 2019 #104 Proved said: Ni kweli wamehujumiwa sana! Ila kwani wanakaa ndani ya kambi moja na wapiganaji wa Hizboullah wakiwa huko Syria? Click to expand... hivi unajua kuwa israel huwa anatarget silaha za iran zilipo(lzm zilindwe na makomando) so zilipo ndipo makomando walipo na ndipo panapopigwa na israel Sent using Jamii Forums mobile app
Proved said: Ni kweli wamehujumiwa sana! Ila kwani wanakaa ndani ya kambi moja na wapiganaji wa Hizboullah wakiwa huko Syria? Click to expand... hivi unajua kuwa israel huwa anatarget silaha za iran zilipo(lzm zilindwe na makomando) so zilipo ndipo makomando walipo na ndipo panapopigwa na israel Sent using Jamii Forums mobile app
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 36,879 Reaction score 49,325 Jan 15, 2019 #105 Richard irakunda said: hivi unajua kuwa israel huwa anatarget silaha za iran zilipo(lzm zilindwe na makomando) so zilipo ndipo makomando walipo na ndipo panapopigwa na israel Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inaonesha itachukua muda sana kwa Iran kumiliki jeshi la anga la kisasa kuchuana na Israel maana inahitaji wataalamu na gharama kubwa sana na ndio maana anaposhambuliwa huko Syria anashindwa kujibu.
Richard irakunda said: hivi unajua kuwa israel huwa anatarget silaha za iran zilipo(lzm zilindwe na makomando) so zilipo ndipo makomando walipo na ndipo panapopigwa na israel Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inaonesha itachukua muda sana kwa Iran kumiliki jeshi la anga la kisasa kuchuana na Israel maana inahitaji wataalamu na gharama kubwa sana na ndio maana anaposhambuliwa huko Syria anashindwa kujibu.