Iran yazindua drone

Kwa engine yake inavoonekana iko underpowered. Alafu kama inakaa masaa 24 angani mbona ina range fupi sana yaani sana, only 1500km si kiduchu tu. Sema 'wanamuqawanna' wako wamejitahidi
Ukitaka Kuyapata Maendeleo Lazma Upige Hatua

Hlaf Sio kwamba Hii Ndio DRONE Yao Yamwanzo Nawala Sio Kwamba Hii Ndio DRONE Yao Ambayo Ina Enda Masafa Marefu Zaidi Ya Ambazo Zimetengenezwa Be4
 
Yaani hawa jamaa wanachekesha sana humu JF, yaani akikohoa mtu Iran taari wanaanza maandamano humu JF, hawa jamaa waajabu sana
 
Kwa engine yake inavoonekana iko underpowered. Alafu kama inakaa masaa 24 angani mbona ina range fupi sana yaani sana, only 1500km si kiduchu tu. Sema 'wanamuqawanna' wako wamejitahidi
Pengine ndizo zilizo bisha hodi kwenye visima vya mafuta vya Saudi Arabia !
Zikapita nyuma ya kisogo cha mavyuma mapofu ya USA!
 
Yaani hawa jamaa wanachekesha sana humu JF, yaani akikohoa mtu Iran taari wanaanza maandamano humu JF, hawa jamaa waajabu sana
Hua Nawashangaa Sana Asee Ila Uzuri Nikwamba Tushawazoea Halaf Kelele Zao Sikama Zinawarejesha WAAJEMI Nyuma Nop Bali Zinawazidishia MORALI
 
Pengine ndizo zilizo bisha hodi kwenye visima vya mafuta vya Saudi Arabia !
Zikapita nyuma ya kisogo cha mavyuma mapofu ya USA!
Usije ukadhani yale ni mavyuma mabovu. Urusi naye anatokewa na hizi scenario za low performance kwa defence systems. Vita ya Iraq kikosi bora kabisa cha Saddam Hussein kilikuwa na vifaru imara 37 vya T-72 kutoka Urusi, U.S wako na vifaru vya M1-Abrams na APCs za Bradley kwa ujumla vyote 17 lakini hawakupoteza kifaa hata kimoja kwenye pambano lile la dakika 23 uku Iraq ikipoteza vifaru vyote. Unatakiwa utambulie specification za silaha fulani, imeundwa kufanya nini katika mazingira gani
 
Yaani hako " kandege " ndio kakujisifia hivo !!!!....hapo hakuna kitu
 
Yaani hako " kandege " ndio kakujisifia hivo !!!!....hapo hakuna kitu
Cjui upo TAIFA Gani Ila Nina Uhakika TAIFA Lako Haijawahi Kurusha Hata Kandege Kakaratasi [emoji23][emoji23][emoji12][emoji14]
 
Copy and Paste... Components zote zimekwepa vikwazo Hongera sana yaani unapata vifaa vyote vya kutengenezea Drone from outsider huku umewekewa vikwazo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…