Wanaliwa timing tu!
Hata mimi sijuiNa nani kwa mfano
Aisee wakati Jana tu USA kafanya prisoner swap na Iran .Wanaliwa timing tu!
Kama Timing Walianza Kuliwa Toka Mwaka 1979 Mpaka Sasa Wanaliwa Timing 2 [emoji16][emoji16][emoji23][emoji3]Wanaliwa timing tu!
Ussr ilishindwa bila kupigwa kombora wala drone[emoji2][emoji23][emoji16][emoji12][emoji14]Kama Timing Walianza Kuliwa Toka Mwaka 1979 Mpaka Sasa Wanaliwa Timing 2 [emoji16][emoji16][emoji23][emoji3]
Wakati Nyie Mnawalia Timing Wao Wanajilia Timing Wenyewe [emoji4]
Ussr ilishindwa bila kupigwa kombora wala drone
Kuna mafua yashagharimu maisha ya wairan 80. RIP good people.Kama mnasubiri Iran ishindwe kiivyo basi sawa
Kama Ni Hvyo Kmbe Hata Bwana Mkubwa US Kmbe Anaweza Kusanda[emoji12][emoji14]Ussr ilishindwa bila kupigwa kombora wala drone
Kuna mafua yashagharimu maisha ya wairan 80. RIP good people.
Endeleeni kuzindua madrone!
Bora Mafua Nimagonjwa Ya Miripuko Ambayo Hata Huko Ulaya Na US YanatokeaKuna mafua yashagharimu maisha ya wairan 80. RIP good people.
Endeleeni kuzindua madrone!
RIP good people.Bora Mafua Nimagonjwa Ya Miripuko Ambayo Hata Huko Ulaya Na US Yanatokea
US Kila Siku Watu Wanauana Kwa Silaha zamoto Ndio Kwanza Wakuu Wanapiga Madili
Hayo Mafua Yatapita 2 Kama Yalivyopita Maradhi Namajanga Mengine
Kwanza Hayo Mafua Sio Man Made Kama US Wanavyouana Kwa Silaha
Inaonekana WAIRAN Wakipata Majanga Huna unafurahika Sana Nafsini Mwako Dah
Kama Drones Kila Taifa Liloendelea Wanatengeneza Kwanini kwa IRAN Mnakua Mnateseka Sanaaa !!??...
Jamaaa Kaleta Hoja Ambayo Uki Iangalia Kiundani Unaona Kama Hua Wanafurahia Sana Wakisia IRAN Kuna Janga Ama Watu Wameuawa...Kwani kipindupindu kwenu kimeuwa watu wangapi? Je baridi huko Us imeuwa wangapi?