Iran imeushambulia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dubai kwa drone ya kivita leo Jumamosi March 07,2026.
Tayari Mashirika ya ndege ya Kimataifa ikiwemo Emirates yametangaza kusititisha safari zote za ndege za kuingia na kutoka Dubai na kutoa onyo kwa abiria kutotembelea eneo hilo hadi taarifa zaidi zitolewe.
Pia soma: Drones za Iran zavamia Dubai International Airport