Iran yatungua Drone nyingine

Iran yatungua Drone nyingine

Ukute wamepiga drone ya Hanscana au Adam Juma halafu wanajisifu.
 
Kuna siku Irani ataelewa maana code namba 0 na 1. Na kwa nini computers zinatambua izo namba, Giant eagle hawezi kusumbulia na wafunga vilemba, kuna mathematical projects wanaifanya na kuna siku dunia itapata jibu kwamba sumu ilitengenezwa kwa ajili ya binadamu na kiumbe chenye uhai
Kwa nn mnateseka enyi waja
 
Back
Top Bottom