




Sisi 2naripua 2 wao waache wapitishe halaf siku waje waingie kwa full scale war ndio wata elewa 2Ukute wenzake wanapitisha drone ili wajue analipuaje au analipua kutokea wapi sasa siku ya pambano wanaanza kushafisha pale






Maumivu Yakizidi kamuone Master Mind Javad ZarifUkute kapiga yake mwenyewe
Wamarekani Weusi Mmeumia Sana EehNawanao watungulia hizo drones siku wakiwalipizia kwa namna nyingine wasilielie

kama watapitisha hata ndege ya karatasi 2ta i2ngua na hawana la ku2fanya
Kama 2takua Hai lkn 
SawaWamarekani Weusi Mmeumia Sana Eehkama watapitisha hata ndege ya karatasi 2ta i2ngua na hawana la ku2fanya
US na Shost Zake PAPER TIGER Nakukukumbusha 2 Hakuna Taifa Linalothubu2 Kuishambulia Kijeshi IRAN Nakama Litathubutu 2takuja Kusimuliana HapaKama 2takua Hai lkn
![]()
Muajemi siyo kama waarabu wanaojikalia barazani kuvuta shisha na kunywa kahawa.
Iseael inasahau kuwa inapambana na vitukuu vya Darius the Great, Cyrus the Great, na ma-genius wa mwanzo kabisa kuleta civilisation duniani.
Na mpaka sasa Iran inafanya mambo makubwa ambayo hata mrusi hajathubutu kufanya.
Kwa Iran, ukisogeza pua anapiga. Kuleta mipasho na taarabu amewaachia wazungu.
Kinyume chake mkuu wanapitisha kupima kina cha maji!Ukute wenzake wanapitisha drone ili wajue analipuaje au analipua kutokea wapi sasa siku ya pambano wanaanza kushafisha pale
Naomba Nijibu Mm Japokua SijaulizwaMkuu tudadavulie kidogo aliyoyafanya Iran ambayo Russia hajathubutu?
Wazungu hawapo bize Sana na vita isipokuwa nchi nyingi za middle east na nchi za indicteta ...Muajemi siyo kama waarabu wanaojikalia barazani kuvuta shisha na kunywa kahawa.
Iseael inasahau kuwa inapambana na vitukuu vya Darius the Great, Cyrus the Great, na ma-genius wa mwanzo kabisa kuleta civilisation duniani.
Na mpaka sasa Iran inafanya mambo makubwa ambayo hata mrusi hajathubutu kufanya.
Kwa Iran, ukisogeza pua anapiga. Kuleta mipasho na taarabu amewaachia wazungu.
Wazungu hawapo BUSY Na vita ndio unavyojidanganyaWazungu hawapo bize Sana na vita isipokuwa nchi nyingi za middle east na nchi za indicteta ...
Wazo zuriUkute wenzake wanapitisha drone ili wajue analipuaje au analipua kutokea wapi sasa siku ya pambano wanaanza kushafisha pale
Kuna siku Irani ataelewa maana code namba 0 na 1. Na kwa nini computers zinatambua izo namba, Giant eagle hawezi kusumbulia na wafunga vilemba, kuna mathematical projects wanaifanya na kuna siku dunia itapata jibu kwamba sumu ilitengenezwa kwa ajili ya binadamu na kiumbe chenye uhaiWanaitendea haki teknolojia, hongera kwake Iran
Tulipelekeni BBC Hili Wazo Lakimataifa KabisaWazo zuri








Full kuota mchanaUkute wenzake wanapitisha drone ili wajue analipuaje au analipua kutokea wapi sasa siku ya pambano wanaanza kushafisha pale





Kushafisha ndio nn MKUUUkute wenzake wanapitisha drone ili wajue analipuaje au analipua kutokea wapi sasa siku ya pambano wanaanza kushafisha pale



Kuna siku Irani ataelewa maana code namba 0 na 1. Na kwa nini computers zinatambua izo namba, Giant eagle hawezi kusumbulia na wafunga vilemba, kuna mathematical projects wanaifanya na kuna siku dunia itapata jibu kwamba sumu ilitengenezwa kwa ajili ya binadamu na kiumbe chenye uhai