Iran Yatuma Meli ya Kivita Tanzania Mafisa Kuingia kambi zote...

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,655
11,643
Meli ya Jeshi la Iran imetia Nanga katika Bandari ya Dar Es Salaam na kuzusha Khofu Kubwa kwa Ukuu ukuu wake...Nia yao kuu ni kujitanua katika bahari kuu na ni kwa ajili ya mazoezi yao kijeshi. Balozi wa Iran nchini Tanzania alidai kuwa Ugeni huu ni kwa ujumbe maalum wa Iran katika Kuleta Urafiki katika nchi za Africa Mashariki haswa Tanzania...

Aliongeza kuwa ujio huu wa Flotilla ya Kijeshi ambao ni wa Siku Nne ni kuonesha Ushirikiano Mwema kati ya Iran na Tanzania na ameonesha kuwa utakuzwa zaidi haswa katika upande wa Ulinzi wa Kijeshi.

Jeshi la Iran limejikita katika Sana upande wa Magharibi na Kaskazini mwa bahari ya Hindi ni mpango wa Nchi yake kusaidia kulinda Amani na Usalama.

Muda watakapokuwa Mjini Dar Es Salaam wanajeshi wa Iran Watatembelea viongozi wa jeshi la Tanzania na Kutembelea Kambi za Jeshi nchini.

Meli ya Jeshi la Iran lilishawahi kutia Nanga Dar Es Salaam juni ya mwaka 2014.

Hii Meli lazima Itakuwa Local Made huko Iran maana Mabati na finishing yake mmmh just like meli ile iliyonunuliwa na Serikali ya Zanzibar... Sijaelewa Meli ina Matuta au Nyufa? au tuseme Imekonda hadi Mbavu za Meli zinaonekana!!

Iran Navy flotilla docks at Tanzania port

Tue Mar 1, 2016 5:58PM
68d62f5b-0a55-4bb3-a03d-4d2faeac5bd7.jpg

A file photo of Iran’s Lavan warship


An Iranian Navy fleet has docked at Tanzania’s Port city of Dar es Salaam in line with the Islamic Republic’s strategy of expanding its naval presence in high seas.

The flotilla, comprising of Shaheed Naqdi, Lavan and Bushehr warships, berthed at the African port on Tuesday as part of Iranian naval forces' training.

Speaking to reporters, Iran’s Ambassador to Dar es Salaam Mehdi Aqa Ja’fari said the visit is aimed at conveying the Iranian nation’s message of peace and friendship to East African countries, particularly Tanzania.

He added that the flotilla’s four-day journey indicates good relations between the two countries and their keenness to improve cooperation, particularly in defense.

The envoy emphasized that Iran’s strong presence in the north and west of the Indian Ocean is in line with the country’s plans to help improve international peace and security.

“The Islamic Republic of Iran’s close relations with African countries play an important role in maintaining stability and security as well as safe and secure shipping in this region,” Aqa Ja’fari pointed out.

During their stay in Dar es Salaam, the Iranian naval forces will meet Tanzania’s military officials and visit military zones of the country.

An Iranian naval flotilla visited Dar es Salaam in June 2014.

Over the past few years, Iran’s Navy has increased its presence in high seas to safeguard naval routes and provide security for merchant vessels and tankers.
 
Nasikia wamekuja kuchukua watu walio radhi kujitoa mhanga katka vita yao ya ndoto za ISIS.
 
Elungata usijitoe ufaham unataka kulinganisha teknolojia ya ISRAEL na iran? Kwa nini umeamua kujidhalilisha? Tafadhari bwana hapo ungenyamaza tu ISRAEL ni level ya mbali kabisa jahazi au mtumbwi wa ISRAEL ni better 100 times ya Meli nliyoiona ya Iran ya kijeshi. Ni aibu. Mi nadhan tuwapigie kelele HAYA MATAIFA YALIYOBARIKIWA yawasaidie ndugu zetu wa iran maana hali yao ni mbaya. Ile meli yao huwez hqta ifananisha na MV Mapinduzi.

Waambie waisrael nao walete hata mtumbwi wao nao tuone basi
 
Sasa mlitaka waizamishe? Au mnadhani zile meli wanazotumia kutishiana na marekani ndio hiyo mliyoiona? Iran ina vyombo vya kisasa, tena hata hiyo meli usikute ni ndege ya kivita inayoweza kujigeuza kuwa meli na kutembea majini.
 
"baba yako anayo!" maandishi kwenye bito ya remmy ongalla miaka hiyo.

kama inaelea toka kwao mpaka kwetu haina shida, ni suala la muda tu zitakuwa safi. ila tafadhari magu usikubali ndege za hawa jamaa, zinadondoka mara nyingi kuliko za kongo.
 
Hii nchi yetu kama malaya kila mtu anaingia
Mchina, Mmarekani sasa ni Iran
 
Ha ha ha! Kama meli yenyewe ya kijeshi ndio hiyo, hawa lazima waondoke na viroba vya mchele.
 
Hao ni Islamic State (Dauresh) wamekuja kuwasaidia wenzao Mazombi wa Z'bar kwa hisani ya Maalim Seif.
 
Back
Top Bottom